Текст песни Interlude Sauti Sol - Sauti Sol
Nakuomba
nerea
usitoe
mimba
yangu,
eh
Mungu
akileta
mtoto
analeta
sahani
yake
Lete
nitamlea
usitoe
mimba
yangu
eh,
Mungu
akileta
mtoto
analeta
sahani
yake.
Huenda
akawa
Obama,
atawale
america
Huenda
akawa
Lupita,
Oscar
nazo
akashinda
Huenda
akawa
Onyama,
acheze
soccer
Uingereza
Huenda
akawa
Kenyatta,
mwanzilishi
wa
taifa
ohhh
Nakuomba
nerea
usitoe
mimba
yangu
eh
Mungu
akileta
mtoto
analeta
sahani
yake
Lete
nitamlea
usitoe
mimba
yangu
eh
Mungu
akileta
mtoto
analeta
sahani
yake
Huenda
akawa
Magahi,
hailinde
mazingira
Huenda
akawa
Makeba,
nyimbo
nzuri
akatunga
Huenda
akawa
Nyerere,
aongoze
Tanzania
Huenda
akawa
Mandela,
mkombozi
wa
africa
Nakuomba
nerea
usitoe
mimba
yangu
eh
Mungu
akileta
mtoto
analeta
sahani
yake
Lete
nitamlea
usitoe
mimba
yangu
eh
Mungu
akileta
mtoto
analeta
sahani
yake
Nakuomba
nerea
nerea
nerea
usitoe
mimba
yangu
nerea
nerea
nerea
usitoe
mimba
yangu
Huenda
akawa
Kagame,
atawale
Gara
mongi
odinga,
tuungane
Huenda
akawa
Tomboya
Huenda
akawa
Rudisha
Huenda
akawa
malaika,
Mungu
ametupatia
Huenda
akawa
Sauti
Sol
Huenda
akawa
Amos
and
Josh
Huenda
akawa
ahhhh
Huenda
akawa
malaika,
Mungu
ametupatia

1 Mafunzo Ya Dunia
2 Nairobi
3 Asubuhi
4 Sunny days
5 Wera
6 Zosi
7 Subira
8 Blue Uniform
9 Mapacha
10 Mushivala
11 Interlude Sauti Sol
12 Asante sana baba
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.