Sauti Sol - Wera текст песни

Текст песни Wera - Sauti Sol



Pambazuka aamka
Wera ni moja
Mziki yaningoja
Na leo nina
Kalamu karatasi
Ni elimishe nirekebishe maisha
Wera wera
Ni elimishe nirekebishe maisha
(Nibadilishe)
Pokea tokomea
Kwa hii mziki nikitafuta riziki.ii
Nikipata nilie mbwata
Na nikikosa hohe hahe
Nife nayo ooh ooh
Mziki itafanya mapato nipate
Nizubae nikose
Mziki itafanya mapato nipate. eeeh
Na ugoigoi... iii
Uhoihoi... eeeh
Itafanya shilingi nikosekose
Shilingi nikose. eeeh
Maisha... aaaah. aaaah. aaaah
Wera... aaaah... aaah... aaaah wera
Wera. Wera... aaaah.
Pambazuka aamka
Wera ni moja
Mziki yaningoja. aaaah




Sauti Sol - Mwanzo
Альбом Mwanzo
дата релиза
04-08-2009




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.