Sauti Sol - Mapacha текст песни

Текст песни Mapacha - Sauti Sol



Mapacha hawatenganishwi kalmu nami muandishi muandishi,
Usinilenge mi malanga aa,
Sina mengi mimi nina shairi mashairioooh wajua nakupendaaa, wajua nakulinda musichana wa afrika
Wajua nakupendaaa, wajua nakulinda we kidosho wa afrika
We uje nizalie musichana
Nami nikupe wewe kijana
Penzi linawiri nakamwe tusilisalitiii
Sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouuuu! wo wo woouuux2
Ooooh ni wewe tuu, ni wewe napeeendaa niwewe wewe
Ni wewe nataka
Africa nzima yakutamani ni weweee ni wewe wewe wewe wewe wewe eeee




Sauti Sol - Mwanzo
Альбом Mwanzo
дата релиза
04-08-2009




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.