Текст песни Subira - Shaa
Shika
uliposhikwa,
ujinga
kuachia
Maana
uliposhika
ni
muhimu
sana
kushikilia
x2
Maneno
x3
Hayashibishi
mtu
Maneno
x3
Ila
yagombanisha
watu
(repeats
twice)
Hizi
ni
salamu,
nakupatia
Subira,
nisipokuwepo
nitakuwa
nasikia
Hizi
ni
salamu
nakupatia
Subira
mama,
nisipokuwepo
nitakuwa
nasikia
Oooh
Subira
nisikize
sana
uendapo
mbeleni
kuna
mawifi
ujichunge
sana
Oooh
Subira
nisikize
sana
uendapo
mbeleni
kuna
mawifi
ujichunge
mama...
Acha
kusangalai
(Umpende
mumeo)
Weh
acha
kusangalai
(Umtunze
mumeo)
Ogopa
sanaaa
(Kovu
la
ndui
halifutiki)
Hayana
maana
(Maneno
maneno
ya
wanafiki)
X2
Maneno
x3
Hayashibishi
mtu
Maneno
x3
Ila
yagombanisha
watu
(repeats
twice)
Mambo
ya
zamani
tofauti
na
sasa
mwenzangu
Na
siri
za
ndani
zitunze
kifuani
mwenzangu
Mambo
ya
zamani
tofauti
na
sasa
mwenzangu
Na
siri
za
ndani
zisiwafikie
walimwenguuu
(Aaah
chunga
mdomo
unajidanganya
unachoweza
kufanya
kuna
wenzako
wanaweza
fanya)
Shoga
eh
kumbuka
wanaume
sikuhizi
wachache
Akienda
bafuni
akienda
kazini
akuage
shoga
eh
(Aaah
chunga
mdomo
unajidanganya
unachoweza
kufanya
kuna
wenzako
wanaweza
fanya)
Aaaah
hiyo
nafasi
usiipate
uiache
utachekwa
weh
Wenzio
wamaliza
soli
kwa
waganga
waipateee
(Aaah
chunga
mdomo
unajidanganya
unachoweza
kufanya
kuna
wenzako
wanaweza
fanya)
Shaa
(Hehehe,
maji
ya
ugali
hayaonjwi
mwenzangu
eh.Wee
mwana
mwana
Mwanangu
weeehhh...
eeeehhh)
Utaniacha
hoi
hoi
hoi,
hata
nikikuona
sauti
sitoi
Utaniacha
hoi
hoi
hoi,
hata
nikikuona
sauti
sitoi
Shoga
eh
kumbuka
wanaume
sikuhizi
wachache
Akienda
bafuni
akienda
kazini
akuage
shoga
eh
(Aaah
chunga
mdomo
unajidanganya
unachoweza
kufanya
kuna
wenzako
wanaweza
fanya)
Shaa(We
Shirko
weh
jamani
we
Shirko
wewe...
Shughuli
imeambata
na
mvua
hii
Wanyama
wanakula
wima,
chezeya...
Vita
vifanyike
ila
Raisi
nisiuwaweeee.)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.