Sudi feat. Amileena - Naona Bado текст песни

Текст песни Naona Bado - Sudi , Amileena

Ninaona bora afadhalli basi nioe mke basi muwe wawili
Nimepungua yangu imani, wananicheka ona majirani
Penzi nilo kumwagia, utamu wa ndoa unaniishia (aah)
Wazazi wanaulizia, mpaka lini watasubiria? Eh
Nayaheshimu yako maamuzi, mara mbili fikiria
Ujana moshi hauna ujuzi, sote njia tunapitia
Nayaheshimu yako maamuzi, oh, oh
Ujana moshi hauna ujuzi, mke wangu, eeh
Naona bado, naona bado (hujarudhia kuishi na mimi)
Naona bado, naona bado (ndio maana hutaki kuzaa na mimi)
Naona bado, naona bado (hujarudhia kuishi na mimi)
Naona bado, naona bado (ndio maana hutaki kuzaa na mimi)
Ah éh, éh, ah, éh, éh, éh, éh
Ah, éh, éh, éh, éh
Mbona ogfya hadharani, na matisho za mke wa pili
Najawa mie na majonzi, kwa kujua tena hauniamini
Naomba uwe na subira, sioni jinsi sitaki kukuzalia (aah)
Wakati wetu utafika, tuwe na sisi familia
Hayaheshimu yangu maamuzi, naomba penzi wewe subiria
Hili jambo nzito la uzazi, bado mie nalifikiria
Heshimu yangu maamuzi, oh, oh
Hili jambo si la ujuzi, bado mie nafikiria
Naomba bado, naomba bado (muda hujafika kuzaa nawe)
Naomba bado, naomba bado (subiri kidogo bwana we)
Naomba bado, naomba bado (muda hujafika kuzaa nawe)
Naomba bado, naomba bado (subiri kidogo bwana we)
Ah, ah, ah, ah, ah
Héh, héh, héh, hei yi
Nimejaribu kukwambia, hebu tuzae hata mtoto mmoja
Majibu nimesubiria, sikuelewi, daily unasema ngoja
Unaogopa kupoteza ujana? (No) unataka tuishi kama jana? (No)
Eti bado mapema (yeah), kifungu gani cha ndoa kimesema? (Kipo)
Hayaheshimu yangu maamuzi, naomba penzi wewe subiria (aah)
Hili jambo nzito la uzazi, bado mie nalifikiria
Nayaheshimu yako maamuzi, oh,oh
Ujana moshi hauna ujuzi, mke wangu eh, eh
Naona bado, naona bado (hujarudhia kuishi na mimi)
Naona bado, naona bado (ndio maana hutaki kuzaa na mimi)
Naomba bado, naomba bado (muda hujafika kuzaa nawe)
Naomba bado, naomba bado (subiri kidogo bwana we)
Sudi we! Wacha papara (aah), muda wetu utafika...

Авторы: Sudi

Sudi feat. Amileena - Naona Bado
Альбом Naona Bado
дата релиза
03-12-2015

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.