Zuchu - Mwizi текст песни

Текст песни Mwizi - Zuchu




(Ayo Lizer)
Do you know?
The way you call me your queen
Mwenzako, I feel so happy, happy
Do you know?
That you're my favourite human being
Unakuaga so lovely, lovely, mm
Ah, jamani mwizi moyo kaniibia
Nahisi kihirizi ah, kanichimbia
Maana uchizi si' uchizi, nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, kwake nimepaliwa
Haki ya mama, chochote nitafanya (nitafanya)
And I swear to God, niko hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
Haki ya mama, chochote nitafanya (nitafanya)
And I swear to God kwako hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
O-oh, tazama ndege angani wanaimba na kucheza
"Zu-nzu-nzu, wewe mama nyukilia we!"
Niliomba dua nami nipate wakunipendeza
Mungu tu aliye mwema amenipa we'
(Na amini Mungu wetu mwema ndo' amenipa we')
Omalichani, huoni ka' tunaendana
Wenyewe tumetulizana, tabia vimo twafanana (sana)
Mapenzi bwana, hata tugombane mchana
Usiku tumeshapatana, twacheka na kutekenyana (sana)
Jamani mwizi moyo kaniibia (la-la-la)
Nahisi kihirizi (ah) ah, kanichimbia
Maana uchizi si' uchizi, nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, ah nimepaliwa (nimepaliwa eh)
Haki ya mama, chochote nitafanya (nitafanya) (ooh, na chochote nitafanya)
And I swear to God, hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a) (a-ah, mi kwako nyang'anyang'a)
Haki ya mama, chochote nitafanya (nitafanya) (oh, ooh, ooh)
And I swear to God kwako hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)



Авторы: A



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.