Lyrics Visa - Bahati
Ni
saa
moja
Na
giza
yabisha
Hata
bila
kujulishwa
Kila
mtu
nyumbani
Ni
saa
moja
Na
giza
yabisha
Mchunguze
mwenzio
Macho
kwa
telly
Ooh
Visa
vyaanza
Kila
mtu
yu
kimya
Twangoja
vidokezi
ooh
Huzuni
wajaa
hewani
Visa
vyaanza,
Kila
mtu
yu
kimya
Twangoja
vidokezi
ooh
Huzuni
wajaa
hewani
Na
hakuna
furaha
Watu
wajishika
tama
Twalia
kwa
ndani
Huzuni
moyoni
Hakuna
furaha
Watu
wajishika
tama
Twalia
kwa
ndani
Machozi
moyoni
Juu
na
visa
ooh,
Vyatuvunja
nyoyo,
'Kifungua
macho
hautamani
uonacho,
ooh,
Baba
twajiweka
Mikononi
mwako
Juu
machozi
yetu
yamekuwa
chakula
chetu,
Mara
baba,
kamshika
mwanawe
kwa
nguvu
Mwingine
kajitia
kitanzi,
badala
ya
mapenzi
Na
yule,
kasahau
nduguye
akifuata
mali
Sasa
ni
upanga
(kupigania
shamba)
Na
hili
halikosi,
vita,
kati
ya
dini
Hatuelewani,
Wakristo,
waislamu
Kutwa
kucha,
tuko
vitani
Hatuelewi,
hautelewi
Mara
ukabila,
mara
vita,
ya
mataifa
Hatuelewi,
hatuelewi
Ju
maskini
walia
hela,
aliyenazo
yualilia
amani
Hatuelewi,
na
hatuelewi
Visa
ooh,
Zatuvunja
nyoyo,
'Kifungua
macho
hautamani
uonacho
Baba
twajiweka
Mikononi
mwako
Juu
machozi
yetu,
yamekuwa
chakula
chetu
Visa
ooh,
Zatuvunja
nyoyo,
'Kifungua
macho
hautamani
uonacho
Baba
twajiweka
Mikononi
mwako
Juu
machozi
yetu,
yamekuwa
chakula
chetu
Nchi
yetu
imekosa
amani
Wenzi
wetu
na
bado
wakimbizi
Eh
okoa
Kenya
Mara
ukabila
eeh
Hatuna
usalama
Kenya
Tunalia
sana
Mungu
wetu
eeh
Attention! Feel free to leave feedback.