Lyrics Itakuwa Sawa - Bahati
Nilipotenganishwa
tu
na
mama,
Niliingia
kwa
mtaa
kutafuta
butter,
Masela
walinata,
Huku
na
kule
tumaini
la
kupata,
Nisije
na
uchungu,
Mito
mikubwa
milima
nilivuka,
Natumaini
tu
kwa
mungu,
Awape
nguvu
nyumbani
niliowacha,
Nikaamua
niende
mbali,
Ii
mbali
na
nyumbani,
Nikamua
niende
mbali,
Ili
kusaka
ugali,
Nikaamua
niende
mbali,
Nikaamua
niende
mbali,
Mbali
na,
Itakuwa
sawa
Kwa
hivi
waeleze
nyanya
na
babu
Itakuwa
sawa,
Shangazi
mwambie
hasife
moyo,
Itakuwa
sawa
x2
Na
hivi
msichoke,
Kukopa
dukani
paendapo
pangumu
Hivi
mniombee,
Maisha
mjini
bado
ni
sugu
x2
Naelewa
na
uchungu
uliowabana,
Naelewa
si
rahisi
kupambana,
Naelewa
na
majozi
yamewakumba,
Mama
baba,
Naelewa
na
uchungu
uliowabana,
Si
rahisi
kupambana,
Naamini
tukimwamini
rabana,
Yote
Napita
mengi
na
si
utani,
Wambie
eh
Sijadanganywa
na
burundani,
Wambie
eh
X2
Mweleze
na
nyanya,
Mweleze
mjomba,,(itakuwa
sawa)
Mweleze
masela
Musyoki
wa
benga,(itakuwa
sawa)
Mweleze
susana,,(itakuwa
sawa)
Na
hivi
msichoke.
Attention! Feel free to leave feedback.