Lyrics Pete (Live Version) - Ben Pol
Hadithi
ya
penzi
langu
umenikata
nini
mwisho
Huthamini
huoni
pendo
lako
nalihitaji
leo
kesho
Nishawahi
kukosa,
mwenzenu
nilisumbuka
Mchana
na
usiku
mimi,
nishawahi
kukosa
Nasema
niliteseka
mchana
na
usiku
mimi
Nishawahi
kukosa,
mwenzenu
nilisumbuka
Mchana
na
usiku
mimi,
sitaki
tena
kosa
Najua
nitateseka
Mwisho
sitokuwa
nawe
tena
naulizaa
Kama
pete
yangu,
inakuchomaa
kidoleni
Ni
kama
pendo
langu,
linakuchoma
moyonii,
Bora
kuitoa
aaah
aah,
Pendo
kulivua
aaah,
Bora
kuitoa,
Moyoni
mwangu
mi
nisiteseke
Bora
kuitoa
aaah
aa,
Pendo
kulivua
aaah,
Bora
kuitoa,
Moyoni
mwangu
mi
nisiteseke
Sikujali
wambea
wanafki
walosema
Hatutadumu
mimi
nawe
tutajaachana
Wakiniona
siko
nawe
si
ndo
watasema
Hata
nyumbani
watajua
tumefarakana
Nikiwaza
kwenda
mbali,
moyoni
nahofia
Maana
bado
nakujali,
kwako
nilishatua
Nikiwaza
kwenda
mbali,
moyoni
nahofia
Maana
bado
nakujali,
kwako
nilishatua
Kila
jema
n'tendalo
mie,
kwako
limekuwa
sio
Nitakapo
kujua
ulipo,
wanijibu
utakavyo
Pete
kidoleni
mwako,
yanisuta
mwenzio
Ndo
maana
nikukosapo,
moyo
wanienda
mbio
Repeat
til
1 Gusa
2 Afro
3 Jikubali
4 Maboma
5 Maneno
6 Maumivu
7 Naringa
8 Nikikupata (Acoustic Version)
9 Nikikupata
10 Number One Fan
11 Pete (Live Version)
12 Pete
13 Samboira
14 Samboira (Remix)
15 Tulia Kwangu
16 Yatakwisha
17 Wa Ubani
18 Twaendana
Attention! Feel free to leave feedback.