Ben Pol - Yatakwisha Lyrics

Lyrics Yatakwisha - Ben Pol



(Ben Pol):
Na yatakwishaaaa.
Mmmm... aah.eeh
Ala moja haikaiiii,...
Panga mbili nimeaminiii.
Nilidhani nitawezaaa.,
Kuwamudu wote wawilii.
Ye awepoo.,
Nawe niwe waakoo.
Kwake nipatee.,
Nawe nipate penzi lakoo.
Kweli sitowezaaa.,
Kuacha uende nibaki niliee.
Bora kupotezaa.,
Bali nipate moyo wako nituliee.
Kweli sitowezaaa.,
Kuacha uende nibaki nilieee.
Bora kupotezaaa.,
Vyote nipate moyo wako nitulieee.
Ulisema umeamua kunisameee...
(Na yatakwishaa)
Leo tena unataka kunitesaaa...
(Na kuniumizaa)
Jua kwambaa., leo mi mwenziooo...
(Kesho weweee)
Ona matesoo unayonipa mi mwenzioo.
(Ntapata kwa mwinginee)
Ulisema umeamua kunisameee...
(Na yatakwishaa)
Leo tena unataka kunitesaaa...
(Na kuniumizaa)
Jua kwambaa., leo mi mwenziooo...
(Kesho weweee)
Ona matesoo unayonipa mi mwenzioo.
(Ntapata kwa mwinginee)
(Linah)
Ukweli woote ulijificha hukuweka wazii.,
Fadhili zote kumbe bure nani atanienziiii??
Ningejuwaa, pendo lako wala nisingelipokeaaaa...,
Naumiaaa, penzi hili sitaweza kusheaaa...
(Ben Pol)
We ndo wa moyonii.,
Siwezi ntafanya niniiii.
Kuishi mbali nawee.,
Kwangu naamini kazi buuree.
Labda uhaii niutowee.,
(Niwe chizi nipagawee)
Kama timamu nieleweee
(Naomba unisamee)
Labda uhaii niutowee.,
(Niwe chizi nipagawee)
Kama timamu nieleweee
(Naomba unisamee)
Ulisema umeamua kunisameee...
(Na yatakwishaa)
Leo tena unataka kunitesaaa...
(Na kuniumizaa)
Jua kwambaa., leo mi mwenziooo...
(Kesho weweee)
Ona matesoo unayonipa mi mwenzioo.
(Ntapata kwa mwinginee)
Ulisema umeamua kunisameee...
(Na yatakwishaa)
Leo tena unataka kunitesaaa...
(Na kuniumizaa)
Jua kwambaa., leo mi mwenziooo...
(Kesho weweee)
Ona matesoo unayonipa mi mwenzioo.
(Ntapata kwa mwinginee)
Kwa mwingineeeee...
Kwa mwinginee...



Writer(s): Benard Paul


Ben Pol - Ben Pol
Album Ben Pol
date of release
05-02-2014




Attention! Feel free to leave feedback.