Darassa feat. Mr. Burudani - Waiter (feat. Mr. Burudani) Lyrics

Lyrics Waiter (feat. Mr. Burudani) - Darassa feat. Mr. Burudani



Classic Music
Let me give them skills
You tell them up for this one
(Abba)
I've been counting my blesses
When God say yes no man can stress
Eh, man tell the truth man don't lie
Huwezi kutembelea kiatu changu hakikufai
Eh kila mmoja anapenda kufurahi
Hata nkae myself I'm doing fine
Nataka kuishi milele I don't wanna die
Smoke cigarette drinks to refresh mind
Waiter, waiter, waiter tuongeze another round
Waiter, waiter, waiter nataka another round
Waiter, waiter, waiter tuongeze another round
Waiter, waiter, waiter
Chupa inakata, chupa inarudi
Moja moto, moja baridi hakuna story
Them boys wanna have fun, not bored
Na ukispend uwe na plan za magoal
Niondoke hapana nainjoy najichanganya
Mkikikutana marafiki tabia zinafanana
Nastukia ishakuwa usiku sana
Akili inaniambia kunakitu cha kufanya
Namwingia msichana namletea za ujana
Kumbe ananijua bhana "Shemu no hapana"
Naona nyota nyota nshaanza kuchanganya good
I got go, want to know one for the road
Waiter, waiter, waiter tuongeze another round
Waiter, waiter, waiter nataka another round
Waiter, waiter, waiter tuongeze another round
Waiter, waiter, waiter
(The mix killer)




Darassa feat. Mr. Burudani - Slave Becomes A King
Album Slave Becomes A King
date of release
24-12-2020



Attention! Feel free to leave feedback.