Lyrics Loyalty (feat. Marioo & Nandy) - Darassa , Marioo , Nandy
Classic
music
Ooh
yeah
yeah
Kapipo
Nipe
chakula
nitanawa,
nitakula
nitashiba
Siku
nikienda
kulala
nitaota
mapenzi
Ukisikia
naenda,
nafura
najiimbia
Kama
ukisikia
naimba
naimba
mapenzi
Ukiniona
nalia,
nifute
machozi
Jua
ukiniona
nalia
nalilia
mapenzi
Ooh
yeah
Nilishafanya
vi
ujanja
ujanja
vya
kubuni
Kaisoma
namba
kwa
Kirumi
Kujichanga
changa
mpaka
mbuni
Na
kumbe
najichanja
chanja
kama
kuni
Nitafute
wapi
nakosea
step
Labda
nivae
fashion
nijenge
shape
Mwishoni
I
try
to
doubt
myself
Siwezi
kuogelea
ya
maji
marefu
Ndio
maana
bado
nakuwa
na
kiwewe
Maswali
najiuliza
mwenyewe
Nasema
nitapata
wangu
je
ni
wewe?
Naona
unaweke
kifaranga
na
mwewe
Mapenzi
yanataka
uyape
respect
Commitment
assurance
Mapenzi
sio
kitu
kama
pesa
ya
benki
Umpe
bunduki
mlinzi
akutetee
Nipe
chakula
nitanawa,
nitakula
nitashiba
Siku
nikienda
kulala
nitaota
mapenzi
Ukisikia
naenda,
nafura
najiimbia
Kama
ukisikia
naimba
naimba
mapenzi
Ukiniona
nalia,
nifute
machozi
Jua
ukiniona
nalia
nalilia
mapenzi
Ooh
yeah
Mi
nina
roho
na
moyo
Ndani
sio
wa
chuma
roboti
So
nahitaji
furaha
amani
Ya
upendo
ndo
nipate
comfort
Nimetafuta
tafuta
njiani
Mtu
wako
mwamina
wokoti
Can
I
company
you
baby
Won't
you
give
loyalty
Marafiki
zangu
wakikutaka
utasemaje
Namwambia
please
respect
yourself
Na
kama
napata
utachezwa
itakuwaje
I
will
run
for
you
baby
when
you
need
my
help
Mapenzi
yanataka
uyape
respect
Commitment
assurance
Mapenzi
yeah
Nipe
chakula
nitanawa,
nitakula
nitashiba
Siku
nikienda
kulala
nitaota
mapenzi
Ukisikia
naenda,
nafura
najiimbia
Kama
ukisikia
naimba
naimba
mapenzi
Ukiniona
nalia,
nifute
machozi
Jua
ukiniona
nalia
nalilia
mapenzi
Ooh
yeah
1 Proud Of You (feat. Alikiba)
2 Waiter (feat. Mr. Burudani)
3 Umeniroga (feat. Kassim Mganga)
4 Nimetumwa Pesa (feat. Bill Nas & Ben Pol)
5 Loyalty (feat. Marioo & Nandy)
6 Size Yao (feat. Dogo Janja)
7 Usiniletee shida (feat. Femi One)
8 Blessings (feat. Abbah & Mr. T Touch)
9 Love Is Free (feat. Winy)
10 Hands Up (feat. Maua Sama)
11 Lock Me Down (feat. Jaiva)
12 My Life (feat. Chibwa & Marisa)
13 Utantoa Roho (feat. Juma Kakere, Eddy Kenzo, & B2C)
14 Hasso
15 Nikiondoka
16 Segedance (feat. Rich Mavoko)
17 Shemeji (feat. Baraka De Prince)
18 Hater
19 Nana (feat. G Boy)
20 Boss It (feat. Ben Pol)
21 I Like It (feat. Sho Madjozi)
Attention! Feel free to leave feedback.