Darassa - Hater Lyrics

Lyrics Hater - Darassa




Aaah usipojikubali hakuna wakukubali
Nani apendaye marndeleo yako
Jitoe mwenyewe jikubali fanya kazi
Kuna wenye vikubwa hata vidogo vyako
Watavitaka hawaridhiki na vyao
Mola niepushie fitina za walimwengu
Hii ndiyo maana ya wanadamu wa duniani




Attention! Feel free to leave feedback.