Lyrics Hands Up (feat. Maua Sama) - Maua Sama , Darassa
Najua
kuna
watu
inawatoa
kwenye
mood
Kuona
nafanya
vitu
And
they
told
me
that
I
could
They
told
me
that
I
lost
my
way
nimeshaboo
Na
nimefika
sehemu
ingekuwaje
Ningerudi
Cheki
news
ukienda
mtaani
watu
commenti
Darassa
mtu
mbaya
kanyaga
anaacha
damage
Watu
wanahitaji
mziki
una
energy
Kinywaji
cha
kuburudisha
na
unapata
knowledge
Mziki
una
visa
kama
ndoa
ya
mgumba
Kama
Una
moyo
mdogo
unaweza
ukakuvunja
vunja
Nakula
yangu
usiku
mchana
Mungu
ananichunga
Hata
singekuwa
hii
fani
bado
ungesakata
rhumba
Street
hubishi,
Kwani
vipi
hunitishi
Push
mpaka
maandishi,
mwisho
wa
movie
mazishi
Get
rich
or
die
trying
what
you
wanna
make
a
wish
Mchawi
anachezesha
dishi
bado
vita
na
wanafiki
Sata
chaji
kwenye
moyo
kupata
ganzi
Kuishi
na
binadamu
tu
yenywewe
ni
kazi
Sijui
ingekuwaje
kama
singecheza
smart
This
mothefcker
life
I've
been
so
much
yoh
Walisema
I'm
just
wasting
my
time
Wakasema
I'm
gonna
loose
my
mind
Hawakujua
nakokwenda,
kufanya
nachopenda
I
don't
stop
till
I
die
And
if
you
feel
what
I
feel,
put
your
hands
up
Uko
juu,
uli
kwa
chini,
put
your
hands
up
Kama
unajua
unapokwenda,
unafanya
unachopenda
Don't
stop
eh
eh
eh
And
if
you
feel
what
I
feel,
put
your
hands
up
Uko
juu,
uli
kwa
chini,
put
your
hands
up
Kama
unajua
unapokwenda,
unafanya
unachopenda
Don't
stop
eh
eh
eh
Mama
ananipenda,
mama
ananicare
Alianza
kunibeba
akanifunza
kutembea
Unajua
nakotokea?
Hujui
potea
Heka
heka
kila
siku
mtu
ampigie
Every
now
day
ni
macho
yangu
au
am
confused
Niseme
uwashe
TV
Nione
kitu
naona
makuzi
Kwenye
Radio
hakuna
nyimbo
watu
wanapiga
miluzi
Hakuna
habari
Wengine
wanabweka
bweka
Kumbemikwa
ana
mbuzi
It's
enough
kaa
kwenye
line
yako
bana
tafadhali
Hebu
hebu
huku
usije
wengu
wengu
Ukanitia
uvengu
vengu
Na
wenzako
mnataniana
mkaleteana
ukibwendu
Nini
nini
maana
eeh
eeh
nini
hembu
Mpelekee
mashuzi
mtu
aliyekulisha
ndengu
Chimbu
chimbu
na
madini
chimbua
Mi
mwenye
kipindupindu
ukipinda
napindua
Napindua,
napindua
Walisema
I'm
just
wasting
my
time
Wakasema
I'm
gonna
Loose
my
mind
Hawakujua
nakokwenda,
kufanya
nachopenda
I
don't
stop
till
I
die
And
if
you
feel
what
I
feel,
put
your
hands
up
Uko
juu,
uli
kwa
chini,
put
your
hands
up
Kama
unajua
unapokwenda,
unafanya
unachopenda
Don't
stop
eh
eh
eh
And
if
you
feel
what
I
feel,
put
your
hands
up
Uko
juu,
Uli
kwa
chini,
Put
your
hands
Kama
unajua
unapokwenda,
unafanya
unachopenda
up
Don't
stop
eh
eh
eh
1 Proud Of You (feat. Alikiba)
2 Waiter (feat. Mr. Burudani)
3 Umeniroga (feat. Kassim Mganga)
4 Nimetumwa Pesa (feat. Bill Nas & Ben Pol)
5 Loyalty (feat. Marioo & Nandy)
6 Size Yao (feat. Dogo Janja)
7 Usiniletee shida (feat. Femi One)
8 Blessings (feat. Abbah & Mr. T Touch)
9 Love Is Free (feat. Winy)
10 Hands Up (feat. Maua Sama)
11 Lock Me Down (feat. Jaiva)
12 My Life (feat. Chibwa & Marisa)
13 Utantoa Roho (feat. Juma Kakere, Eddy Kenzo, & B2C)
14 Hasso
15 Nikiondoka
16 Segedance (feat. Rich Mavoko)
17 Shemeji (feat. Baraka De Prince)
18 Hater
19 Nana (feat. G Boy)
20 Boss It (feat. Ben Pol)
21 I Like It (feat. Sho Madjozi)
Attention! Feel free to leave feedback.