Diamond Platnumz - Number One Lyrics

Lyrics Number One - Diamond Platnumz



Kwanza mapenzi safari, Ujana ni
Maji ya Moto. Walinenaga zamani.
Pili tumetoka mbali, kwa matatizo
Changamoto, tuvisa visa fulani.
Oooh tatu kidonda chako kwangu maradhii,
Matu usononekapo kwangu simanziii,
tatu kidonda chako kwangu maradhii,
Moyoni usononekapo kwangu simanziii.
Kwa mahaba Ulionipa, nimenogewa.
Vurugu patashika, punguza kidogoo.
Na mengine kadhalikaa mtoto si unanielewaa.
Apo apo uliposhika ukiongeza
kidogooo mwenzako ntaumiaa!!
(you are my Number 1)
My sweety sweety (Number 1)
My baby oooh (you are my number 1)
My Darling (my Number 1)
Roho yangu mama (my Number 1)
(you are my Number 1)
My sweety sweety (Number 1)
My baby oooh (you are my number 1)
oooh Roho yangu mama (my Number 1)
Na nina wivu sikatai, maana uchungu wa mapenzi naujua.
so usije kunilaghai, ukaacha kuzama ukanizingua.
Na nina wivu sikatai, maana uchungu wa mapenzi naujua.
so usije kunilaghai mwenizio naogopa.
Now show me how they do
ngololo x6
and show me how you do
ngololo x6
Oooh baby you are (my number 1)
My sweety sweety (my number 1)
my baby ooh (you are my number 1)
my darling (you are my number 1)
oh roho yangu mama
(you are my number 1)
My sweety sweety (my number 1)
my baby oh (you are my number 1)
oh roho yangu mama
Now show me how they do
gololo x6
Na Watuache tulale




Diamond Platnumz - Diamond Platnumz - Bongo Flava Hits Tanzania
Album Diamond Platnumz - Bongo Flava Hits Tanzania
date of release
28-09-2015




Attention! Feel free to leave feedback.