Lyrics Hatua - Elani
Huku
kijijini
unafanya
nini
Mimi
na
muziki,
shilingi
kwa
ya
pili
Tumetoka
mbali
Tumetoka
mbali,
mimi
na
muziki
Watu
wa
baridi,
waona
wakirihi
Tamaa
mimi
sifi,
ninajua
mimi
Nitagunduliwa,
kwa
sanaa
hii
Bridge
Walimu
wacha
walimu
wacha
Silali
muacha
walimu
wacha
Chukua
chukua
chukua
chukua
chukua
hatua
Hali
duni
kila
siku
hivo
hivo
Malenga
hawakutunga
mashairi
walinena
Mapenzi
siyo
mali,
usichoke
kula
ugali
Wooi
wooi
my
dear
usijali
Mwisho
basi
sisi
sote
tutajivinjari
Tutajivinjari
tutajivinjari
eeh
Na
tukunywe
chai
Bridge
Walimu
wacha
walimu
wacha
Silali
muacha
walimu
wacha
Chukua
chukua
chukua
chukua
chukua
hatua
Hivi
punde,
maisha
yangu
yatabadilika
Mi
natarajia
Baada
ya
dhiki
wajua
ni
faraja
Sikudhani
Sikudhani
Baada
ya
dhiki
wajua
ni
faraja
Sikudhani
Sikudhani
Bridge
Walimu
wacha
walimu
wacha
Silali
muacha
walimu
wacha
Chukua
chukua
chukua
chukua
chukua
hatua

1 Hatua
2 Zuzu
3 Kookoo
4 Uko Wapi
5 Peperuka
6 Milele
7 Barua Ya Dunia
8 Hapo Zamani
9 Mahindi
10 Jana Usiku
11 Milele (Radio Edit)
12 Jinsi
13 Love You
14 My Darling
15 Sirudi
16 Heart Beat
17 Zuzu (Remix)
18 Mahindi (Radio Edit)
19 Nikupende
Attention! Feel free to leave feedback.