Elani - Uko Wapi Lyrics

Lyrics Uko Wapi - Elani



We uko wapi eeh
Uko wapi eeh
We uko wapi eeh
Nibembeleze kwani mie ndiye wako
We uko wapi eeh
Uko wapi eeh
We uko wapi eeh
Nichangamkie kwani mie ndiye wako
Kutoka utotoni niliyekuwa naye
Maziwa ya nyayo tukicheza hicho
Yeye Rabi kanibariki mimi
Na nimekoma, na nina noti
Lakini malkia wangu
Uwalinalo vutia ajabu
Nirudishie, nirudishie wewe
Nirudishie utanipa maisha yangu
We uko wapi eeh
Uko wapi eeh
We uko wapi eeh
Nibembeleze kwani mie ndiye wako
We uko wapi eeh
Uko wapi eeh
We uko wapi eeh
Nichangamkie kwani mie ndiye wako
Ndiye ndiye wako wako wakoo wakoo ooh oh
Nafanya mimi ninachokipenda
Muziki asali inaridhisha
Lakini bado sijajitosheleza
Natafuta sukari nikwangane asali
Asali sukari sukari asali utamu halisi
Ni we, we pekee
We uko wapi eeh
Uko wapi eeh
We uko wapi eeh
Nibembeleze kwani mie ndiye wako
We uko wapi eeh
Uko wapi eeh
We uko wapi eeh
Nichangamkie kwani mie ndiye wako
Ndiye ndiye wako wako wakoo wako ooh
Weeh oh, weeh oh



Writer(s): Bryan Chweya, Freddy W. “dillie”


Elani - Barua ya Dunia
Album Barua ya Dunia
date of release
01-01-2013




Attention! Feel free to leave feedback.