Elani - Peperuka Lyrics

Lyrics Peperuka - Elani




Nimeketi kwenye kona, muziki ndio soda,
Ya kiu cha moyo wangu,
Kiangazi kinachoma, barafu sio dawa,
Ya tiba ya moyo wangu,
Picha zako zanituliza,
Sauti yako nayo naisikia,
Natakamie,
Nikupe maua, niweze kupeperuka,
Nifike kwa jua, nipate kukuona,
Mama, papa,
2
Nimeketi kwenye kona, moyoni sina supa,
Ya gari ya moyo wangu
Ndugu zangu wanalia kuomba tunaomba,
Hizi enzi za machozi,
BRIDGE: instrumental.
***END***



Writer(s): Bryan Chweya, Wanyoike Kimani



Attention! Feel free to leave feedback.