Elani - Mahindi - translation of the lyrics into German

Mahindi - Elanitranslation in German




Mahindi
Mais
Ni asante mama kwa uji ya asubuhi
Danke, Mama, für den Morgengrütze
Nimewahi kuwahi eeh
Ich habe mich beeilt, eeh
Na sasa niko fiti Nairobi
Und jetzt bin ich fit in Nairobi
Maisha ya kulima siyo rahisi
Das Leben in der Landwirtschaft ist nicht einfach
Lakini, najua ni wengi wananingojea
Aber ich weiß, viele warten auf mich
Nifike na
Dass ich ankomme mit
Mahindi mahindi
Mais, Mais
Wananchi wanataka kula ugali
Die Bürger wollen Ugali essen
Nyumbani
Zuhause
Mahindi, mahindi
Mais, Mais
Raia wanataka unga ya ugali
Die Leute wollen Maismehl für Ugali
Nyumbani
Zuhause
Anasema anatumia jiko nyumbani, yeeh
Er sagt, er benutzt den Herd zuhause, yeeh
Eti kilo ya nyama yangoja nyumbani na ugali
Angeblich wartet ein Kilo Fleisch zuhause mit Ugali
Huku sisi tuko kazi
Während wir hier bei der Arbeit sind
Tukichelewa itakuwa tena kesi
Wenn wir uns verspäten, gibt es wieder Ärger
Nairobi jueni, tuko njiani
Nairobi, wisst, wir sind unterwegs
Twaja na
Wir kommen mit
Mahindi mahindi
Mais, Mais
Wananchi wanataka kula ugali
Die Bürger wollen Ugali essen
Nyumbani
Zuhause
Mahindi, mahindi
Mais, Mais
Raia wanataka unga ya ugali
Die Leute wollen Maismehl für Ugali
Nyumbani
Zuhause
Jogoo, Hostess
Jogoo, Hostess
Sembe, Pembe
Sembe, Pembe
Zote kazi ya mikono yetu
Alles die Arbeit unserer Hände
Zote kazi ya mikono yetu
Alles die Arbeit unserer Hände
Jogoo, Hostess
Jogoo, Hostess
Sembe, Pembe
Sembe, Pembe
Zote kazi ya mikono yetu
Alles die Arbeit unserer Hände
Zote kazi ya mikono yetu
Alles die Arbeit unserer Hände
Mahindi mahindi
Mais, Mais
Wananchi wanataka kula ugali
Die Bürger wollen Ugali essen
Nyumbani
Zuhause
Mahindi, mahindi
Mais, Mais
Raia wanataka unga ya ugali
Die Leute wollen Maismehl für Ugali
Nyumbani
Zuhause





Writer(s): Brak, Elani


Attention! Feel free to leave feedback.