Lyrics Nilipotoka - Fid Q
Tongwe
records
for
ever
Nimbali
sana
napotokea
na
nazidi
kupotea
kwa
kusonga
mbele
Nimbali
sana
napotokea
na
nazidi
kupotea
kwa
kusonga
mbele
Namiliki
cheupe
mangara
japo
nina
jeusi
Dawa
agharabu
dhiki
haitaki
tajiri
twende
sawa
Mabangarow
na
magari
kama
watoto
wa
bhakressa
Kariakoo
kwa
muuza
duka
nathamani
zaidi
ya
pesa
Sio
muuza
sangara
mtaani
huniita
ghetto
Professor
uliza
dandalov
nina
heshima
kama
dudu
kisesa
Bongo
mnacheza
ninyi
ni
wabongo
na
hii
mdo
yenu
Fleva
mnanipa
kiinua
mgongo
nawashukuru
napata
fedha
Naweza
kumbuka
nilichoona
nikasahau
jina
la
movie
Unaweza
shindwa
kunisoma
sababu
tu
ya
haya
maujudhi
Kazi
yangu
mi
ni
ku-Create
hizi
words
na
Punch
za
mkono
wa
chuma
kama
wa
Amita
au
cyborg
Nanin′giniza
Mcee
km
chain
za
gold
kwenye
Kifua
cha
pendezee
najua
unanisoma
bwaashee
Nina
Floo
coz
kuna
F
kwenye
Fid
Ni
Mwanza
coz
kuna
M
kwny
Mcee
na
who
else
can
be
Niite
Ngosha
the
Don
na
sio
James
Japo
my
words
are
born
na'make
Dollar
in
make
sense
Mafala
wana
entertain
hayo
Maswala
kudadadeki
Nahitaji
respect
na
sio
stress
kama
Keynes
Nimbali
sana
napotokea
na
nazidi
kupotea
kwa
kusonga
mbele
Nimbali
sana
napotokea
na
nazidi
kupotea
kwa
kusonga
mbele
Na-Change
rock
city
kuwa
Rap
city
Natabasamu
hata
kama
ninanjaa
Niheshimu
Kama
rhymes
ni
majungu
basi
ufalme
ni
wajamaa
Historia
hujirudia
sio
sana
kama
movie
za
Chaplin
Amani
kwa
mamcee
na
Maproducer
wazuri
wa
sampling
nipo
na
customers
sihitaji
Ku-hustle
naenda
nao
ngazi
kwa
ngazi
leta
u-snitch
wata
ni-blascode
Siogopi
kukosea
ndio
maana
wananiita
Mbunifu
nazidi
kuendelea
napakua
heats
kila
siku
Nasema
naongea
natema
vitu
vipo
deep
Mapema
Niliacha
kugongea
na
kuona
magang
sio
issue
Nachukia
kukosea
na
siwezi
kufurahia
Kupotea
Kimbia
napotembea
kama
unataka
kunifikia
Na
Pia
me
sina
spare
kama
unavonisikia
Najua
vile
unionavyo
sivyo
ulivonihisia
Sichagui
kama
mbombo
kwa
adui
naweza
Jikomba
naikamgusa
hata
akiweka
ukuta
ka-Mjomba
Mnajiuliza
me
ni
nani
nawajibu
me
ni
mtu
Flani
Msomi
kitaani
nani
anasema
call
me
name
Wapinzani
siwaoni
mliopo
gizani
njooni
kwa
Mfalme
Mnayoyafanya
ndotoni
mi
nayafanya
adharani
Nimbali
sana
napotokea
na
nazidi
kupotea
kwa
kusonga
mbele
Nimbali
sana
napotokea
na
nazidi
kupotea
kwa
kusonga
mbele
Nimbali
sanaaa
napotokeaaa
kuna
mvua
jua
kali
sanaa
maghetto
kibao
Naomba
mjua
rock
city
Hip
hop
is
back
and
run
in
the
full
power

1 Propaganda
2 Wananiita King
3 Juhudi Za Wasiojiweza
4 Utaua Game
5 Kila Siku
6 Hey Lord
7 Temanoleji
8 Mwanamalundi
9 Shimo Limetema
10 Mama
11 Nyota Ya Mchezo
12 Usinikubali Haraka
13 Ripoti za Mtaani
14 Nilipotoka
15 Propaganda (Bonus Track)
Attention! Feel free to leave feedback.