Stereo - Achana Nae Lyrics

Lyrics Achana Nae - Stereo



Mi tabasamu, majibu nayasubiri,
Penzi lako tamu fanya alione kama shubiri,
Na tena hakose hamu kopa jekundu ligeuke brown,
Hi dar es salaam jogoo la shamba haliwiki town,
Hakuna tabu tutoke out tukale ice cream,
Mwambie unatembea stereo ndo your night dream
Sio rahisi ila itampasa kuamin,
Mwambie mkicheza mchezo unahisi kama nacheza mm
Na tena na plan nikakutambulishe kwa wazaz,
Tuwe bibi na bwana tuweke wazi,
Bado mapema atampata mwingine wapo wengi,
Kubaki diellem nkubomoa wala haujengi,
Akikwambie mtoke mwambie uko bize sana,
Kazi zinabana hauna muda usiku wala mchana,
Mletee mapozi, amwage machozi, visa vitimbi,
Akuone demu wa njozi hakuone anapokuota kama inabidi,
Apunguze spidi mwisho amwage manyanga,
Mwambie hamkutaka mwachane lakini mungu hakupanga,
I wanna be alone sitaki kushare mapenzi,
Kwanini humuhurumie bibie mfanyie ushanzi,
Eeeeh mi nataka kuwa nawee... oooh nimechoka kuwa na yeye,
Yeeh ananyingi kelelee... ooooh mi natanitulie... nitulie naweee...
Haina noma si umenizimika mwenyewe,
Haya ninayosema bhasi naomba nielewe,
Usije kufeli haina kwanini umdanganye,
Bora umwambie ukwel umpendi ili muachane,
Unapaswa kuheshimu nakusikiliza zako hisia,
Kuwa nami inakulazimu wakati umewadia,
Kila kitu muhimu mapenzi ntakupatia,
NtakuheshimuJapo yeye ndo wa kwanza kuiyona njia,
Najua mmetoka mbali kumwacha itakuwa vigumu,
Jifunze kutomjali nichoka kuwa kidumu
Kama hakinywa sumu kivyake atakuwa n mpuuzi,
Epuka kuwa mtumwa binti fanya maamuzi,
Mpige chini utateseka mpaka lini,
Unachongoja nn siri ya ushindi kujiamini,
Upate kuwa mm 4ever tena 4 always,
Jamaa wa nini am ur happyness 4 all days,
Mweleze basi usihidhurumu nafsi, tuishi bira wasi, tupate chance tujinafasi,
I wanna be alone sitaki kushare mapenzi,
Kwanini umuhurumie bibie mfanyie ushenzi.
Eeeeh... mi natakuwa naweee... oooh
Nimechoka kuwa na yeye... eeeeh
Ananyingi kelelee... oooooh
Mitaka nituliee... x2
Nitulie naweeee x4



Writer(s): stereo


Stereo - African Son
Album African Son
date of release
01-06-2015




Attention! Feel free to leave feedback.