Stereo - Sharlon Ninja Lyrics

Lyrics Sharlon Ninja - Stereo



B boy Sterio.
Nazihold chart mwanaharakati njoo chini ya mwembe.
Nikunyoe panki nikuchane chane ka kiwembe,
Bukta bila shati kifuani manati kama denge kua nanasi uliwe toka makamasi nikupenge,
Nakuja kuwachapa viboko niwachenge wengi mna mistari local kama shati ya vitenge
Pita denge,
Level zangu nyeusi ka kambale flow ni heavy weight nzito kama hayati pepe kale,
Namaintain flow wee unamaintain figure we ni gogo mi ni choo mi ni lighter we ni cggar we beyonce mi ndo jigga, sina mapozi nawapadozi gozigozi matozi wanani iga,
Nasikitika sana prodyuza akinyonga beat fek,
Najuta sana kila napofanya mistake,
Nasahau ya jana mimi mdhambi mbele ya bwana sina ukamilifu nijiite mtakatifu ntadanganga,
Hawajui kusoma kuelewa kukesha mbwembwe toka mbio umeshachelewa kanyaga twende meza lines kama buble uchane kwa kumbait 50, kaka usimchunge dada kama mlinzi wa night shift



Writer(s): Stereo


Stereo - African Son
Album African Son
date of release
01-06-2015




Attention! Feel free to leave feedback.