Stereo - Chundabadi Lyrics

Lyrics Chundabadi - Stereo



Woo!. yeah, yeah (anhaa), moja mbili. chunda badi, singasinga (anha) cheki
(Yoo!)
Wanaponiona hukosa amani ka'bitozi aliye jinyea
Wanasema hizi hawafanyi sikiza vocal inavyo enea
Hawaachi kuniongelea, siachi kuendelea
Wanachunga dada zao nami siachi kuwamendea
Piga miruzi ita jibwa la kufugwa, we ni mchumba wa juzi bongo movie shamba kubwa
Nipe fuba, nipe msuba, nduki niende nao
Badili mapozi ka' umelaza mbavu juu ya ubao'
Wangapi wanamwenzi sister P, miti huteleza siku anapokufa chimpanzee
Peace kwa jengua na wanawe, niko sugu kama unyayo unaopekua juu ya mawe
Nawakaza kama spanner za fundi, natema verse yenye laana kama adhana ya bundi
Natoa tiba isiyotolewa amana na tumbi, nami ndo yule bondia anaepambana na kundi'
Chunda badi mujahidina, heshima sina, natafuna midundo ka' pilau ya hitima, wamoto nawazima'
Hawajui kuchana siwapi mic nawatupia ndizi kama kima
Chunda badi mujahidina nakupa tag kama chunda badi spenko' stereo flow, street ngoma mbona mbishi noma stereo so...
Yoo! chunda badi singasinga maradona, mishe bila idadi mara sinza mara boma hata simba nyama choma nakula bagi' naenzi utamaduni ka' kibabu cha kijadi
Best rapper, kwako b*tch records, kila leo kila kesho nitakwepo-sikia midundo kwenye speaker caterpillar flow haina poo, midundo huwa naibaka bila soo.
Toboa gozi kama buibui kucha, tozi kikojozi mweye buibui future natanua domo bila promo za vipindi, juu nna lemba chini buti kama ndocha la kihindi
Sionekani facebook nipo chimbo napiga window acha maDJ wasipige nyimbo
Wapige bolingo, solo niko singo kwenye lindo ni sime na beto kwa kibindo
Killer, thriller super multimiller, sifichwi na mademu ndani za chupa za kimila
Mwambieni mwanawazimu sada, chundabadi ni kolabo la wendawazimu saba.
Chunda badi mujahidina nakupa tag kama chunda badi spenko, sterio flow street ngoma mbona mbishi noma stereo so
Super hand, super some ommy dimpos,
Mi ni super gang super babu ommy wrinkles
Tunatazamiwa na jicho tungo safi kama zimebarikiwa na bishop,
Leo navuma za kuvuma na zivume, nadunda na wachumba kwa mitumba ya karume
Osama bin laden Gaddafi, nagonga mdundo kwa mistari kama nyundo kwa patasi.
Tanzania, siasa inapotoka, peace kwa wanangu hawaniachi nnapochoka
Shingoni sina mkufu wala cheni
Sionekani mtaani ka' nimekimbizwa na madeni
Nachapa maMC wanakimbia balaa,
Nawapuna shilingi kama bia za bar, gear za malaya wa dar, zubaa' nikwache kwenye mataa nawachapa na mikia ya taa
Chunda badi mujahidina nakupa tag kama chunda badi spenko, stereo flow hii ngoma mbn mbishi noma stereo so



Writer(s): Stereo


Stereo - African Son
Album African Son
date of release
01-06-2015




Attention! Feel free to leave feedback.