Lyrics Mrs. Superstar - Young Killer
Classic
sounds
Mone...
Msodoki
the
son
Classic
sounds
Yooo
Kila
mwanadamu
anaupendo
kwa
yule
ampendaye
Mwingine
anawaza
vipi
atampata
yule
amtakaye
Sio
kwamba
nact
no
nipo
real
Japo
msodoki
ni
mdogo
ila
nauwezo
wa
kufeel
Fikra
zangu
zinatuma
Nidate
kwa
Maunda
Zoro
Najua
nitaleta
jealous
kwa
brother
Banana
Zoro
Sasa
vipi
nikiwa
Penny
hivi
ntakuwa
free
Au
kama
nngekuwa
na
Mwasiti
wa
THT
Ila
Penny
nahisi
Diamond
atanisumbua
Hata
Mwasiti
pendo
langu
atalivua
Kwanza
long
time
ago
Nilishazmikaga
na
Wema
Na
scandal
za
magazeti
moyo
wangu
ukamtema
Nikawachukia
mapaparazi
nikahisi
wameharibu
bahati
Moyo
wangu
nikauweka
bond
kwa
Chiku
mwanaharakati
Ila
wote
tunachana
hatutadumu
maghetoni
Nilipozimika
na
Besta,
Marlaw
akapiga
honi
Madam
Rita
na
Salama
wakaogopa
mcharuko
wa
BSS
Nmemov
mpaka
Dar
Wolper
nimchane
face
to
face
Ila
roho
inakataa
inaogopa
waigizaji
Macho
yalishatua
kwa
Flora,
H
Baba
akamhitaji
Wapo
wengi
natamani
kuwa
Nao
in
my
life
Muda
mwingi
natumia
kuwaza
nani
atanifaa
Mrs
superstar
nani
nimwite
love
Mrs
superstar
nani
nimwite
love
Hizi
hisia
zangu
sidhani
kama
nakufuru
Akili
inanituma
niende
sambamba
na
Lulu
Ila
naogopa
yasinitokee
ya
Kanumba
Nikasukumwa
nikafa
wengine
wakang'oa
mchumba
Ama
Ray
C
nikimchek
machoni
haishi
Kile
kiuno
bila
mfupa
kingenipikia
mapishi
Ila
ghafla
nikaogopa
niliposikia
ana
mchizi
Baada
ya
kuuliza
ni
nani
kumbe
mnako
Lord
Eyes
Navyokupa
utanipa
upendo
wa
kina
Au
tutaachana
njia
panda
kama
Amini
na
Lina
Kwa
love
sitaki
kukosea
niwe
na
mrembo
mwenye
visa
Niwe
na
Tea
au
nimwache
nidate
kwa
Monalisa
Nikadata
na
Diva
Ila
sauti
ni
soo
ye
ni
mgonjwa
Kwa
raha
zangu
atanifia
itakua
soo
Sura
pesa
Aunt
Ezekiel,
Young
sina
hela
Vanesa
Mdee
najua
huwezi
ishi
kisela
Mara
Jokate
kichwani
akanitawala
mpaka
basi
Nkajua
hata
nikisema
basi
hatanipa
nafasi
Namuomba
mungu
anipe
gift
special
Kama
isingekua
kizunguzungu
basi
Ningekua
na
Rachel
Wapo
wengi
natamani
kuwa
Nao
in
my
life
Muda
mwingi
natumia
kuwaza
nani
atanifaa
Mrs
superstar
nani
nimwite
love
Mrs
superstar
nani
nimwite
love
Usiku
silali
usingizi
autokei
Namuwaza
Johari
Ila
ule
ukaribu
na
Ray
Unanipa
wasiwasi
na
mimi
sitaki
nijute
Basi
nikaamia
kwa
Dayna
baada
ya
kusema
nimvute
Shilole
naogopa
kumwambia
yanayonisibu
Kwa
Khadija
nikakope
kopa
nije
kumpa
taratibu
Nahisi
atanihadhibu
pedeshee
wa
yafitina
Maana
atahitaji
matunzo
cha
ajabu
mimi
uwezo
sina
Nampenda
Uwoya
mtoto
wake
ataniitaje
Kaka
au
baba
Ndikumana
atanionaje
Hizi
hisia
zangu
wala
siitaji
maswali
Mi
napenda
kuitwa
babu
Bi.Cheka
atakubali
Wapo
wengi
natamani
kuwa
Nao
in
my
life
Muda
mwingi
natumia
kuwaza
nani
atanifaa
Mrs
superstar
nani
nimwite
love
Mrs
superstar
nani
nimwite
love
Attention! Feel free to leave feedback.