Lyrics Umebadilika - Young Killer
Pokea
busu
shavuni
toka
kwa
mnyamwezi
Ambae
uliona
nakurubuni
mdanganyifu
wa
mapenzi
Leo
unaniona
kanuni
bila
mm
jibu
hauwezi
Choz
mwanzo
wa
huzuni
maji
huleta
utelezi
Sasa
unalala
salama
unakumbata
picha
yangu
Usiku
njoz
inakwama
bila
sauti
yangu
Leo
zamu
yako
mama
cunakumbuka
hustle
zangu
Kipindi
unanitukana
ukidai
sio
type
yangu
Sasa
unaniita
mchumba
unaamn
ntakuoa
Hadi
macho
unanifumba
hata
tongo
tongo
cjatoa
Unanipa
hadi
mavumba
nisifulie
nkaboa
Unamshukuru
mumba
zawadi
ka
mm
kuitoa
Si
ulinisema
kwa
baba
ako
anikamate
aniadhibu
Ukiwa
na
wenzako
mkiniponda
dhabibu
Hukujua
ntakua
wako
ntayashinda
majaribu
Ingawa
mwaka
mzima
nilihustle
ili
unipe
jibu
Attention! Feel free to leave feedback.