ALIKIBA - Usiniseme paroles de chanson

paroles de chanson Usiniseme - ALIKIBA



Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee kama napenda kula
Msinishangae
Msinishangae
Msinishangae
Msinishangae kama napenda kula
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee kama napenda kula
Msinitengee
Msinitengee
Msinitengee
Msinitengee kama napenda kula
Asi hivi juzi juzi nilikuwa na shuguli
Mtaa wapita na si mbali
Kulikuwa na pilau na wali
Basi nami nikajiunga
Pale pale kupiga mvunga
Watu wakajipanga
Nikaanza kwa tonge na nyama
Ninamatongee
Ninamatongee
Ninamatongee
Ninamatonge mpaka wakanifukuza, Nikasema sijali
Nikatoa pesa mfukoni
Nikanunua mayai
Nilichofuata watu wa wakai Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee kama napenda kula
Msinishangae
Msinishangae
Msinishangae
Msinishangae kama napenda kula
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee kama napenda kula
Msinitengee
Msinitengee
Msinitengee
Msinitengee kama napenda kula
Ilikuwa juma pili
Siku ya watu wenye ufahari
Kujirusha sehemu mbali mbali
Nami nikasema leo sikubali
Wacha niendee
Wacha niendee
Wacha niendee
Ila sina pesa nataka nikale
Nikapita sokoni
Nikaomba embe sokoni
Nikaelekea baharini
Nikawaona wengi ufukweni
Hakika na embe jiutani
Nakula ili watamani
Mate yaliwajaa mdomoni
Basi wote wakaanza kuniomba
Msiniombee
Msiniombee
Msiniombee
Si mnasema mimi napenda kula
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee kama napenda kula
Msinishangae
Msinishangae
Msinishangae
Msinishangae kama napenda kula
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee
Msinisemee kama napenda kula
Msinitengee
Msinitengee
Msinitengee
Msinitengee kama napenda kula




ALIKIBA - So Hot
Album So Hot
date de sortie
16-09-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.