paroles de chanson Sumu - Fid Q
Aliyeniumba
alinipa
mdomo
hivo
n'na
haki
kuongea
Hii
bahati
meotea,
safi
kamwe
siachi
kui-share
Hamtaki
niwe
fair,
trust
me
man
huwa
happy
nki-care
Naona
watachosema
mshkaji
uko
smart
upstairs
Usiache
kuongea,
usiache
we
ni
incharge
huna
spare
Kipaji
ka'
Ngwair,
mapaji
ka'
bahati
aliowagea
Flag
pepea,
hitaji
zaidi
ya
maji
na
mmea
Ilikuwaje
wa
muache
hadi
mshkaji
ulaji
wa
drugs
ukamzoea
Tunamoka
ili
kusafiri
kihisia
Au
kufoka
pia
ikitoka
ukaisikia
huwezi
toka
au
ukitose
kuingia
Kinachochosha
nia,
ni
kosa
ulichojua
utapatia
Nawachota
kihisia,
nasota,
je
inatosha
fidia
Shibe
ya
mdau
hainilazi
njaa
sababu
mganga
yupo
juu
Nafurahi
ambavyo
wadau
wakimuona
star
wanalamba
miguu
Asiye
nihitaji
simuhitaji,
kamwe
simuachi
aje
azinzi
Bandidu
kama
tsotsi
sipigi
goti
ka'
PNC
Hakuna
ambae
hakosi,
labda
kwa
Yangu
self
esteem
haitoki
ka'
ripoti
za
TMZ
Na
hainizuii
nsile
mkate,
kwa
kuhofia
kiungulia
Na
u-Emcee
hauniachi,
huniangalia
ka
Ka'
Bruce
Lee
hizi
karate,
ntakupigia
utaishia
Na
sinto
sita
kusema
ahsante
au
kuwasifia
mkinisaidia
Washkaji
baadhi
hawana
haki
ya
kui-pressure
hii
medulla
Wako
radhi
kukupa
pombe
na
siyo
pesa
ya
kula
Nawaona
vyura
tu
kama
Snura,
hii
sura
ya
mhuni
haina
kwere
Anavaa
suti
mtaani,
nyumbani
kunguni
tele
Kwa
magonjwa
yanayotibika
tunapoteza
maisha,
Huruma
Tunachanga
kwenye
msiba
ukifa,
hawajali
ukiumwa
Au
wanaweza
wakahisi
umekufa
kwa
kukutwa
umezirai
Usipo
sh'tuka
Afrika
unaweza
kuzikwa
ukiwa
hai
Sumu
Sumu,
Sumu
Sumu
Sumu,Sumu
Haumuui
chura
kwa
kumtupa
ndani
ya
maji
Ukinizuga
kwa
ulaji,
nakupa
fact
kwa
lugha
ya
kishkaji
Unataka
vitu
rahisi,
mi'
nawapa
vitu
halisi
Utata
unamtaka
ibilisi,
na
siyo
bi
kaka
ka'
Idris
Mr.
Nice
jua
la
utosi
na
mtaa
unakiu
ile
mbaya
Hawamsupport,
isipokuwa
anawapromote
aliowa-inspire
Wakati,
___
sio
kama
Mox,
Stosh
hakupaswa
kumgwaya
Lakini,
mzee
bila
noti
ni
zaidi
ya
Nyoshi
akiwa
vibaya
I
didn't
come
this
far,
just
to
come
this
far
Siwezi
sanda
kama
bikra
hata
nikiishi
ki-star
Maisha
hayakupi
unachotaka
ila
yanakupa
unachotafuta
Pesa
sadaka,
wazushi
wanaivuta
kwa
Binadamu
wako
wapi
mnanitoa
mie
nsiwemo
Leo
nawapa
ofa
ya
mswaki
afu
kesho
mnaning'oa
meno
Oyoooo.
time
is
money
nafasi
haijali
kuzuga
Wema
anataka
saa
ya
almasi
zari
anaujali
muda
Washa
sana
nyasi,
rasta
ogopa
fast
futa
Wanashindwa
kujinafasi
kwa
unafiki
nafsi
zinawasuta
Wabongo
wa
majuu
hamna
upendo,
mnajigawa
Ubongo
hauna
miguu
lakini
skendo
zina
mabawa
Aliyemtia
umasikini
Afrika
leo
analia
kwa
yanayomsibu
Na
hutangaza
akimpa
msaada
kiasi
cha
kumtia
aibu
Dunia
siyo
chafu
ni
chafu
uchafu
tukiutazama
Sumu
ndani
ya
watu,
na
ndiyo
hapohapo
tunapokwama
Hawaamini
kwenye
kuunda
Diamond
au
Kiba
wawili
Wanachoamini
ni
kumshusha
mmoja
ili
mmoja
awe
dili
Cha
kupewa
hakishibishi
ukipewa
lazima
ukumbushwe
Dunia
mwendo
wa
ngisi,
kung'aa
sio
lazima
star
ashushwe
Ukiacha
hisia
zikuendeshe,
kwa
ujeuri
utaishia
kufeli
Sababu
neno
la
ukweli
sio
zuri
na
neno
zuri
halina
ukweli
Ntasahau
vyote,
milele
ntamkumbuka
aliyeniumba
Na
daily
ntakaa
mkao
wa
pusha
tu
kama
Umbwa
1 Mafanikio
2 Masta ( Intro)
3 Mzee Mbuzi
4 Fresh
5 Ole Chizza
6 Hustle
7 Maselabration
8 Big
9 Boss
10 Bongo Hip Hop
11 Fame
12 Kiberiti
13 Kemosabe
14 Kitaaolojia ( Interlude)
15 Familia
16 Tajiri Yangu
17 Hello Darling
18 Ulimi Mbili
19 Love
20 Mama Cheusi
21 Sky High
22 Hauniambii Kitu
23 Sumu
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.