paroles de chanson Bado - Harmonize , Diamond
Kutwa
kidomo
wazi,
nikifuta
na
machozi
Huku
namuomba
Mola
unitoke
moyoni
Ila
ndo
siwezi,
nakesha
ka
mlinzi
Maana
hata
nkilala
unaniijia
ndotoni
Lato,
asante
kwa
kuniumiza
Nimejifunza
mengi,
mwanzo
sikuyajua
Katu,
naapa
kutolipiza
Ila
mwambie
mapenzi
abaki
kuyasikia,
eeeh
Nakumbuka
maneno
yako
Hutonikimbia,
utabaki
nami
Tena
ukala
na
viapo,
Taurat,
Bibilia
Leo
sikuoni,
ila
mwenzako
bado
(Bado
bado,
bado
bado)
Mwambie
bado
(Bado
bado,
sijapona)
Ila
mwenzako
bado
(Bado
bado,
bado
bado)
Mmh
bado
(Bado
bado,
sijapona)
Misijapona
roho
Aa-ah
Mola
nishike
mkono
Baba
Muumba
Haya
ninayoyaona,
simanzi
Ah,
yaani
bora
jicho
mchanga
ningefumba
Huenda
ningeshapona,
maradhi
Oh
maumivu
yangu,
hayawezi
kupona
kwa
vidonge
Sababu
panaponichoma,
nikipapasa
sipaoni
Kweli
peke
yangu,
umeniacha
na
unyonge
Kabisa
wakanipokonya
tonge
langu
mdomoni
Ona,
nakumbuka
maneno
yako
Hutonikimbia,
utabaki
nami
Oh,
mi
ndo
mwili,
mi
roho
yako
Yaani
umetimia,
mbona
sikuoni
Ila
mwenzako
mimi
(Bado
bado,
bado
bado)
Mmh,
nambie
(Bado
bado,
sijapona)
Ila
mwenzako
bado
(Bado
bado,
bado
bado)
Mmh
bado
(Bado
bado,
sijapona)
Ile
roho
yangu
mama
(Ibebe)
Inandondoka
(Ibebe)
Iokote
mama
(Ibebe,
Chaukucha
nsije
zima)
Uh
roho
yangu
(Ibebe)
Inandondoka
(Ibebe)
Njoo
unshike
mama
(Ibebe,
Chaukucha
nsije
zima)
Ah
aah,
ai
wewe
(Ibebe)
Watanizika
mama
(Ibebe)
Mwenzio
taabani
(Ibebe,
Chaukucha
nsije
zima)
Masikini
pendo
langu
(Ibebe)
Linandondoka
(Ibebe)
Niokote
mama
(Ibebe,
Chaukucha
nsije
zima)
Ibebe,
ibebe
Ibebe,
Chaukucha
nsije
zima
Ibebe,
ibebe
Ibebe,
Chaukucha
nsije
zima
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.