Nandy - Siwezi paroles de chanson

paroles de chanson Siwezi - Nandy



Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani
Kumbe kuachwa inaumaga ivii
Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka
Kumbe kuachwa ina umaga ivii
Umeniumbua bora niseme
Kiapo nilicho kula bora nikiteme
Mapenzi shikamo sirudii tena
Umepatwa na nini si useme
Kinachokufanya we uniteme
Mapenzi shikamo sirudiii tena
Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa
Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
Siwezi, siweziii (nakumbuka uliniambia)
Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
Unanifanya mi nalewa sana
Haipiti siku bila kugombana
Mapenzi yako ya kibabe sana
Malumbano ya mapenzi siyawezi
Kuna sielewi mana, ivi kwanini kwako na nga ngana
Mapenzi gani haya kutesana
Wasi wasi wa mapenzi
Ivi kwanini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu
Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi
Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka
Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa
Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)
Bila wee me siwezi (sauti inarudia)
Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)



Writer(s): Faustina Mfinanga, John Kimambo


Nandy - Siwezi
Album Siwezi
date de sortie
23-03-2022

1 Siwezi




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.