paroles de chanson Kwetu - Rayvanny
Sifa
kwa
Mola
wangu
Maulana
kwa
mengi
aliofanya
Hadi
mi
na
we
kukutana,
kisura
Sijapanga
kudanganya,
ntasema
ukweli
mama
Kisa
nakupenda
sana,
kisura
Umesema
wanipenda
ila
maisha
yangu
maseke
Michicha,
milenda
ndo
menyu
yangu,
na
ya
kuku
mateke
Yaani
chenga,
kila
siku
kilio
sa
lini
nicheke?
Sina
tenda,
ugali
Buguruni,
mboga
Temeke
Nafurahi
umeniridhia
niwe
na
wewe
kimwali
Maisha
yangu
mitihani
isoisha
maswali
Ukifika
nyumbani
vumilia
maana
hali
sio
swali
Asubuhi
mchana
pakavu,
jioni
ndo
kula
futali
Tena
huku
kwetu
muda
wowote
mateja
wanatinga
Viwalo
vyetu
ukifua
kumbuka
kuvilinda
Huku
kwetu
muda
wowote
mateja
wanatinga
Mwali
wee,
suala
la
nyumba
na
gari
mimi
Bado,
mi
bado,
mi
bado
Ndo
kwanza
nimepanga
Bado,
iyee,
mi
bado
Sina
hata
kiwanja
Bado,
iyee,
mi
bado
Kulipa
kodi
majanga
Bado,
mimi
bado,
mi
bado
Mtaani
kwetu
hekaheka
ukienda
sokoni
kariri
vichochoro
Ghetto
namkeka
tu
hakuna
kitanda,
shuka
wala
godoro
Hekaheka
hakuna
kibatari
ndani
giza
totoro
Mvua
ikinyesha
nyumba
inageuka
ka
boti
ya
Comoro
Ila
nimeshakupa,
nimeshakupa
mtima
mtima
Ukija
kususa,
utanizika
mzima
mzima
Nimeshakupa
eh,
nimeshakupa
mtima
mtima
Ukija
kususa
ah,
utanizika
mzima
mzima
Tena
huku
kwetu
muda
wowote
mateja
wanatinga
Viwalo
vyetu
ukifua
kumbuka
kuvilinda
Huku
kwetu
muda
wowote
mateja
wanatinga
Mwali
wee,
suala
la
nyumba
na
gari
mimi
Bado,
mi
bado,
mi
bado
Ndo
kwanza
nimepanga
Bado,
iyee,
mi
bado
Sina
hata
kiwanja
Bado,
mie,
mi
bado
Kulipa
kodi
majanga
Bado,
mimi
bado,
mi
bado
Suala
la
nyumba
na
gari
mimi
Bado,
mi
bado,
mi
bado
(Haki
ya
Mungu
bado,
yaani
shuka
bado)
Ndo
kwanza
nimepanga
Bado,
iyee,
mi
bado
Sina
hata
kiwanja
Bado,
iyee,
mi
bado
Kulipa
kodi
majanga
Bado,
mimi
bado,
mi
bado

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.