paroles de chanson Penzi - Rayvanny
Nawaza
kwa
nini
sikumjuaga
zamani,
oh
mama
Pendo
lake
zito
mpaka
lavunja
mizani,
oh
mama
Yeye
na
mimi
kachoo
nisharuka
nyie
oh
mama
Wasiojua
mapenzi
pole
jamani
Ati
alikuwa
bachelor,aibu
gani
Aliyeumba
dunia
akayaumba
na
mapenzi
Wala
hakukosea,
ila
mwezenu
mi
siwezi
Nilishapenda
ila
nikatendwa
Moyo
ulidunda
maskini
roho
Mbona
nilikonda
licha
ya
kuhonga
Kuweka
viwanda
nishaomba
poo
Mwenzangu
bado
hujajua,baki
unicheke
Kwako
yamechanua,
ngoja
yanyauke
(Raymond)
Andazi
si
kitumbua
acha
mapepe
Ukipendwa
tanua
kwa
nini
nisideke?
Jamani
nimependa
mi,nimependa
mi
Nimependa
mi
nataka
nimweke
ndani
Mwenzako,nimetendwa
mie,nimetendwa
mie
Nimetendwa
mi,mapenzi
siyatamani
Jamani
nimependa
mi,nimependa
mi,
Nimependa
mi
nataka
nimweke
ndani,
Mwenzako,
nimetendwa
mie,nimetendwa
mie
Nimetendwa
mi,
mapenzi
siyatamani
Maana
mapenzi
ya
bara
kayachanganya
na
pwani
Vipi
nitajinasua,ameumbika
sina
budi
nisifie
Akipika
natamani
nilipie,
sehemu
ya
ubaga
uliweka
kiwembe
Ndio
maana
mwasi,
akaona
ajijenge
Wewe
kwako
sikia,
(sikia
mwana)
Ila
kwako
utalia,
(utalia
sana)
Pili
nilikuwaga
fundi,fundi
zaidi
yako

1 Kwetu
2 Mwaga (feat. Fik Fameica)
3 Natafuta Kiki
4 Makulusa (feat. Maphorisa & DJ Buckz)
5 Chombo
6 Chuchumaa
7 Chuma Ulete
8 Ex Boyfriend
9 I Love You
10 Magufuli-Corona
11 Mbeleko
12 Naogopa
13 One
14 Sikupendi
15 Sweet Melody
16 Unaibiwa
17 Vumilia
18 Wasiwasi
19 Zezeta
20 Africa (No Xenophobia)
21 Zipo (feat. Busiswa & Baba Levo)
22 Mwanza (feat. Diamond Platnumz)
23 Tetema (feat. Diamond Platnumz)
24 Vumbi (feat. Diamond Platnumz)
25 Miss Buza (feat. Dulla Makabila)
26 Gimi Dat (feat. Mayorkun)
27 Te Amo (feat. Messias)
28 Mama La Mama (feat. Mr. Blue)
29 Siri (feat. Nikk Wa Pili)
30 Tetema (Remix) [feat. Patoranking, Zlatan & Diamond Platnumz]
31 Slow (feat. Phyno)
32 Girlfriend (feat. Rowlene)
33 Pochi Nene (feat. S2Kizzy)
34 Shikwambi
35 Penzi
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.