Darassa feat. Alikiba - Proud Of You (feat. Alikiba) текст песни

Текст песни Proud Of You (feat. Alikiba) - ALIKIBA , Darassa



Yap
Aaah, aah
Ye baba (classic music)
Iyoo, Iyooo, Iyooo
Ulivyojidapika oh mama eeh
Yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae
I'm proud of you my woman
Mi siogopi eh
Kwani ye ndiye wa moyo pambio (heee)
Na hakiombeki namkiya uwooh
Fagio oh-oh
Fagio eh-eh
Fagio oh-oh, eh eh eh
Ah, you make a man wah wah wah
Woman why you do me la la like that
You make me sing nah nah nah nah
She got that beauty kampa mama
Mapenzi yanaweza kuchipua jangwani
Mapenzi hayadanganyi usifanyie utani
Shikwa na polisi utafungwa ukae ndani
Yakikushika mapenzi mambo hadharani
Nikubebe mgongoni nikuzungushe mtaani
Au ufungue moyo ndani uone thamani
No game, game-over nimesurrender
Sina-sina sera, sina agenda
Sina pakwenda mtu ukipenda danger
Unaweza kusaga chuma kwa blender
Ulivyojidapika oh mama ee
Yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae
I'm proud of you my woman
Mi siogopi eh
Kwani ye ndiye wa moyo pambio
Na hakiombeki namkiya uwooh
Fagio oh-oh
Fagio eh-eh
Fagio oh-oh, eh eh eh
You too much sweety
Unapotabasamu hunionyeshi hamu
My lemon my sugar tam tam
I'm proud of you my woman
Mi siogopi eh
Nawe ndo nyota ya kamchezo
Hii karama hakuna cha dezo dezo
Waambie kwangu ushatulia bila kiungulia
Anachotaka nakata
Pochi namnunulia
Namwaga manoti nahudumia
Hahitaji tochi namulikia
Kashavua upweke vua koti namkumbatia
I need you by my side, need you in my life
Girl I wanna marry you, can you be my wife?
Sikumwagii sera za kuja kukulaghai
Me I tell you no lie, walai mama I'm die
Unaniipandisha mizuka, zuka
Narukaruka matuta, tuta
Sifa nyingi za kukupa, nakupa
Mwendo kama umejisusa, unajitupa (aya!)
Funga kazi namba moja top top
Umkute mwanamke wa uswazi anajua soap soap
Chochote anachovaa kinafaa dope dope
Akiinuka akikaa ndo balaa oh oh
Ulivyojitapika oh mama ee
Yaani we ndo my woman
Itabidi wakushangae
I'm proud of you my woman
Mi siogopi eh
Kwani ye ndiye wa moyo pambio
Na hakiombeki namkiya ooh
Fagio oh-oh
Fagio eh-eh
Fagio oh-oh, eh eh eh
Comestas, niko na Darassa
Yeap
Yeah baba, uuh la-la
Aba!, ababa, eeh
Vitu vitamu ndo vinagharamiwa




Darassa feat. Alikiba - Slave Becomes A King
Альбом Slave Becomes A King
дата релиза
24-12-2020



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.