Darassa feat. Maua Sama - Hands Up (feat. Maua Sama) текст песни

Текст песни Hands Up (feat. Maua Sama) - Maua Sama , Darassa



Najua kuna watu inawatoa kwenye mood
Kuona nafanya vitu And they told me that I could
They told me that I lost my way nimeshaboo
Na nimefika sehemu ingekuwaje
Ningerudi
Cheki news ukienda mtaani watu commenti
Darassa mtu mbaya kanyaga anaacha damage
Watu wanahitaji mziki una energy
Kinywaji cha kuburudisha na unapata knowledge
Mziki una visa kama ndoa ya mgumba Kama
Una moyo mdogo unaweza ukakuvunja vunja
Nakula yangu usiku mchana Mungu ananichunga
Hata singekuwa hii fani bado ungesakata rhumba
Street hubishi,
Kwani vipi hunitishi Push mpaka maandishi, mwisho wa movie mazishi
Get rich or die trying what you wanna make a wish
Mchawi anachezesha dishi bado vita na wanafiki
Sata chaji kwenye moyo kupata ganzi
Kuishi na binadamu tu yenywewe ni kazi
Sijui ingekuwaje kama singecheza smart
This mothefcker life I've been so much yoh
Walisema I'm just wasting my time Wakasema I'm gonna loose my mind
Hawakujua nakokwenda, kufanya nachopenda
I don't stop till I die
And if you feel what I feel, put your hands up
Uko juu, uli kwa chini, put your hands up
Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda
Don't stop eh eh eh
And if you feel what I feel, put your hands up
Uko juu, uli kwa chini, put your hands up
Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda
Don't stop eh eh eh
Mama ananipenda, mama ananicare Alianza kunibeba akanifunza kutembea
Unajua nakotokea? Hujui potea Heka heka kila siku mtu ampigie
Every now day ni macho yangu au am confused Niseme uwashe TV
Nione kitu naona makuzi Kwenye
Radio hakuna nyimbo watu wanapiga miluzi
Hakuna habari
Wengine wanabweka bweka
Kumbemikwa ana mbuzi
It's enough kaa kwenye line yako bana tafadhali
Hebu hebu huku usije wengu wengu
Ukanitia uvengu vengu
Na wenzako mnataniana mkaleteana ukibwendu
Nini nini maana eeh eeh nini hembu
Mpelekee mashuzi mtu aliyekulisha ndengu
Chimbu chimbu na madini chimbua
Mi mwenye kipindupindu ukipinda napindua
Napindua, napindua
Walisema I'm just wasting my time Wakasema I'm gonna
Loose my mind Hawakujua nakokwenda, kufanya nachopenda
I don't stop till I die
And if you feel what I feel, put your hands up
Uko juu, uli kwa chini, put your hands up
Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda Don't stop eh eh eh
And if you feel what I feel, put your hands up Uko juu,
Uli kwa chini,
Put your hands Kama unajua unapokwenda, unafanya unachopenda up
Don't stop eh eh eh




Darassa feat. Maua Sama - Slave Becomes A King
Альбом Slave Becomes A King
дата релиза
24-12-2020



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.