Darassa feat. Kassim Mganga - Umeniroga (feat. Kassim Mganga) текст песни

Текст песни Umeniroga (feat. Kassim Mganga) - Kassim Mganga , Darassa



Heee
Its a magic music
Aah umezaliwa malaika
Unahitaj mtu akuongezee mbawa tu upaee
Nimekulete helen na cheni
Na jina lako kwenye kidan leo uvae
Taka ajisikie special special
Fanya atulie kasettle kasettle
Kababy face Mobetto mobetto
Namletea za loketo loketo
Do I believe in you no doubt
And my love is true don't doubt
Au nishike spika niseme loud
Mama there no one like you I feel proud eeh
Ukicheka ukinuna
Ukisema ukiguna
Mzuri wa sura
Kakujalia mama
Wakujiongeza (ooh yeah eeh)
Anavyopendeza (ooh yah eeh)
Mkute akicheza (ooh yah eeh)
Icoco ya baba (ooh yah eeh)
Naona naona
Naona kama umeniroga
Wanasema umeniroga
Naamin hujaniroga, eeh
Naona naona
Naona kama umeniroga
Wanasema umeniroga
Naamin haujaniroga, eeh
Noo campaign
She is the one
And my baby hauna mpizani (ooh yah eeh)
Na kama ngeweza
Jina lako ngeandika angani (ooh yah eeh)
Au ntoe moyo nikupe ili ushikee kiganjani
Ooh yah eeh
Haya mapenzi sasa mashetani
Yamepanda kichwani
Oooh yah eeh
Mtoto laini laini burger
Michezo ya kachiri kachiri saga
Napigwa mawe me bado
Napigwa vita nisiwe nawe me, girl
Do I believe in you, no doubt
And my love is true don't doubt
Au nishike spika niseme loud
"Mama there no one like you
I feel proud, Eeh"
Ukicheka ukinuna
Ukisema ukiguna
Mzuri wa sura
Kakujalia mama
Wakujiongeza (ooh yeah eeh)
Anavyopendeza (ooh yah eeh)
Mkute akicheza (ooh yah eeh)
Icoco ya baba (ooh yah eeh)
Naona naona
Naona kama umeniroga
Wanasema umeniroga
Naamini hujaniroga
Naona naona
Naona kama umeniroga
Wanasema umeniroga
Naamini haujaniroga
Look at you girl umenikamata
I repeat myself back to the matter
You and I, you and I girl
You and I, you and I love
Look at you girl umenikamata
I repeat myself back to the matter
You and I, you and I girl
You and I, you and I love




Darassa feat. Kassim Mganga - Slave Becomes A King
Альбом Slave Becomes A King
дата релиза
24-12-2020



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.