Текст песни Kama Utanipenda - Rich Mavoko , Darassa
Mrembo
njoo
tujenge
malengo
Nikikutazama
naona
nyufa
kwenye
mjengo
Unaonekana
kama
mji
wenye
Upendo
Unafanana
na
mtu
alochoshwa
na
mwendo
Si
nikupe
namba
yangu
unipigie
weekend?
(weekend,
weekend
baby)
Moyo
unasema
mchukue
huyu
mtoto
yuko
stendi
Vile
anavyohema
sio
kama
mtu
hapendi
Anauelewa
mziki
anahofia
kuucheza
Anasema
na
lugha
chafu,
ameshakuwa
Kifimbo
Cheza!
Sema
nini
na
Marlaw
nabembeleza
Kwa
sera
za
Suma
Lee
nakula
chungwa
mpaka
chenza
Ehee,
shida
kujiuguza
Mama
you
hot
na
uko
ndani
unaniunguza
Staki
kujua,
hata
nikijua
ntapuuza
Ukitaka
kula
bata
uache
kumchunguza
Aah!
Kama
utanipenda
Sitojali
shida
ulizobeba
Na
kama
unataka
kucheza
Katafute
refa
wa
kukubeba
Na
kama
utanipenda
Sitojali
shida
ulizobeba
Na
kama
unataka
kucheza
Katafute
refa
wa
kukubeba
You
know
I
like
you
Mi
nakupenda
and
I
give
you
what
you
want
eh
(Eeh
whatchu
want?)
Nipe
uchizi
nidate
Hata
nkilala
kwenye
usingizi
nifate
(The
way
you
talk
mama)
You
know
I
like
you
Mi
nakupenda
and
I
give
you
what
you
want
eh,
baby
(Eeh
whatchu
want?)
Nipe
uchizi
nidate
Hata
nkilala
kwenye
usingizi
nifate
Hakuna
single
wala
movie,
mama
kwangu
you′re
my
star
Mi
shabiki
yako
nasimama
hata
ukikaa
Nahangaisha
paa,
breki
ziko
Dar
Jitazame
kwenye
kioo
how
beautiful
you
are
Mapenzi
ukichaa,
mapenzi
uchizi
Uwe
nacho
ukikataa,
mwingine
inamnyima
usingizi
Mwingine
atakesha,
mwingine
atatesa
Mwingine
atataka
akutumie
kama
pesa
Yanajuana
madini
yakikutana
Mwanamke
ntanyima
tuzo
na
ndo
kitu
nachofanya
We
utasema
mi
kichaa
Kumbe
mwenzako
nafata
what
I
feel
inside
Aah!
Kama
utanipenda
Sitojali
shida
ulizobeba
Na
kama
unataka
kucheza
Katafute
refa
wa
kukubeba
Na
kama
utanipenda
Sitojali
shida
ulizobeba
Na
kama
unataka
kucheza
Katafute
refa
wa
kukubeba
You
know
I
like
you
Mi
nakupenda
and
I
give
you
what
you
want
eh
(Eeh
whatchu
want?)
Nipe
uchizi
nidate
Hata
nkilala
kwenye
usingizi
nifate
(The
way
you
talk
mama)
You
know
I
like
you
Mi
nakupenda
and
I
give
you
what
you
want
eh,
baby
(Eeh
whatchu
want?)
Nipe
uchizi
nidate
Hata
nkilala
kwenye
usingizi
nifate
(Unataka
nini
mama?)
Usiniumizi
moyo
(waweza
kupaa)
Mi
niko
loyal
(uendeshe
motor
car)
Punguza
uchoyo
(nguo
za
kuvaa)
You're
my
everything
for
me
(Na
ukiwa
out,
oh
whatchu
want?)
(Waweza
kupaa)
baby
(Uendeshe
motor
car)
(Nguo
za
kuvaa)
(Na
ukiwa
out,
oh
whatchu
want?)
You′re
my
everything
for
me
You're
my
only
one
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.