Текст песни Nitarejea - Diamond Platnumz
Vipi
mizigo
umeshaweka
tayari
Sijechelewa
nkaachwa
na
gari
Basi
jikaze
usilie
mpenzi
Mi
nitarudi
niombee
kwa
mwenyezi
Zile
taabu
na
njaa
msimu
mzima
mavuno
hakuna
Huwa
nakosa
raha
pale
mkikosa
cha
kutafuna
Roho
yangu
inauma,
sema
ntafanya
nini
na
pesa
sina
Nakuonea
na
huruma,
bora
niende
mjini
kusaka
Tumaa
Kama
watoto
wakinililia
waambie
kesho
nitarejea
Wadanganye
na
vibagia,
waambie
pipi
ntawaletea
Kama
watoto
wakinililia
waambie
kesho
nitarejea
Nawe
usichoke
kuvumilia,
na
kila
siku
kuniombea
Wanajua
kwamba
nafsi
na
roho
vitakuwa
na
wasiwasi
Ukumbuke
na
moyo
utajawa
na
simanzi
Ntakapokuwa
nakwenda
shambani
afu
niko
peke
Yangu
honey
Ntapokuja
kuwa
na
majirani
ntaumia
aaah
Pale
napotoka
kisimani
ama
nipo
na
kuni
kichwani
Sina
wakunitua
nyumbani
ntaliaa
Maneno
yako
yananfanya
nakosa
raha
na
mawazo
Hata
mwenzako
sijawahi
kufika
dar
huu
ndo
mwanzo
Vile
nakwenda
na
sijui
pa
kukaaa
wala
mavazi
ooh
We
niombee
niepushwe
na
balaa
na
maradhi
ooh
Kama
watoto
wakinililia
waambie
kesho
nitarejea
Wadanganye
na
vibagia,
waambie
pipi
ntawaletea
Kama
watoto
wakinililia
waambie
kesho
nitarejea
Nawe
usichoke
kuvumilia
na
kila
siku
kuniombea
Unapokwenda
kama
ukifika
salama,
utukumbuke
na
Sisi
Usisahau
kama
mkeo
na
wana,
umetuacha
na
dhiki
Vile
usijali
ila
naomba
chunga
sana,
ogopa
na
Marafiki
Wakikulaghai
hata
kwa
mbegu
za
mtama,
waambie
Sidanganyiki
Unapokwenda
kama
ukifika
salama,
utukumbuke
na
Sisi
Kumbuka
mkeo
na
wana
nyumbani,
umetuacha
na
Dhiki
ooh
Vile
usijali
ila
naomba
chunga
sana,
ogopa
na
Marafiki
Wakikulaghai
hata
kwa
mbegu
za
mtama,
waambie
Sidanganyiki
Ntarejea
mama
Niombee
nirudi
salama
Ohhh
watoto
wadanganye
Ihh,
ohh
Kama
watoto
wakinililia
waambie
kesho
nitarejea
Wadanganye
na
vibagia,
waambie
pipi
ntawaletea
Kama
watoto
wakinililia
waambie
kesho
nitarejea
Nawe
usichoke
kuvumilia,
na
kila
siku
kuniombea
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.