Harmonize - Sorry текст песни

Текст песни Sorry - Harmonize



In this world no body is perfect
We all do mistakes, so forgiveness is all we have
And we only got one life here on this earth
This one for you for you you you
Mi ni mwanadamu sijakamilika
Hadi siku ya mwisho wataponizika
Usisahau zuuh hanakosa malaika
Chonde nisamehe!!!
Busara zako na upole kadhalika
Hakini wazi haviwezi kusahaulika
Najua hayazoleki yakimwagika
Baby nisamehee!!
Namaliza wiki nyumbani sifiki
Simu zako sishiki busy na marafiki (ona)
Lakini wazi ulinivumilia vingi
Tena vyenye thamani kushinda shilingi
Ni wazi siwezi kupinga
Maana mi ni mwanadamu
Na inatokea kuteleza
Ila ningeonekana mjinga aah
Ningeikana damu
Naamini hata Mungu isingeweza kumpendeza
I'm sorry sorry-sorry, sorry-sorry
So lonely lonely-lonely, lonely-lonely
I worry worry worry worry for you
I'm sorry sorry-sorry, sorry-sorry
So lonely lonely-lonely, lonely-lonely
I worry I worry I worry for you
Basi fanya unisamehee (ooh)
Nisamehee (ooh), nisamehee (ooh)
Nisamehee (ooh)
Nimekosa naomba unisamehe
(Naomba aah)
Nisamehe (unisame aah)
Nisamehe
Nimekosa naomba unisamehe
(Yeaah I know that I did you wrong
And I'm here to apologize as human
And I wish you all the best
You deserve better)
Unapohesabu makosa yangu
Usisahau na mema
Nitunzie pia mapungufu yangu
Kwa watu usije ukasema eeh
Shilingi imeshazama kwenye shimo oh oh
Kamwe siwezi ipata tena
Machozi yasio na kipimo oh oh
Hata nikifumba macho yananipenya
Mi nachoamini haikupangwa
Mi na wewe tuwe wote mpaka siku ya mwisho
Hakuna nilichofanya makusudi
Ndo maana hadharani nkajirudi
Na hakuna chenye mwanzo
Duniani kikakosa kuwa na mwisho
Ndo hivyo tena sina budi
Na sina maana ntaka urudi
No matter kiasi gani ntabaki na hamu
Ila nisingeweza kuikana damu
Maana kitanda, hakizai haramu
Nenda salama unisamehee
I'm sorry sorry-sorry, sorry-sorry
So lonely lonely-lonely, lonely-lonely
I worry worry worry worry for you
I'm sorry sorry-sorry, sorry-sorry
So lonely lonely-lonely, lonely-lonely
I worry I worry I worry for you
Basi fanya unisamehee (ooh)
Nisamehee (ooh), nisamehee (ooh)
Nisamehee (ooh)
Nimekosa naomba unisamehe
(Naomba) nimekosa
(Nisamehe) nisamehe
Nimekosa naomba unisamehe
If we don't forgive, our lives will suffer
It's just something we all need
And we need forgiveness from in our lives
(Mr simon)



Авторы: Rajab Abdul Kahali, Simon Ryghseter


Harmonize - High School
Альбом High School
дата релиза
05-11-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.