Jua Cali - Ruka текст песни

Текст песни Ruka - Jua Cali



Nairobi kusema tu ukweli tumefika
Calif records ka chini beste skiza
Jina ni juacali
Ma mc kutoka leo amta ishi kwa amani
Jo silikuambia uache mchezo
Jo silikushtua uache mchezo
Ruka ruka basi kabla sijavunja hizo meno
Nikuache mapengo
Juacali ndio mtaani au sio
Waone sai vile wanatoka mbio au sio
Hakuna mahali tunaenda tuko na nyinyi 4reva
Kutoka southC buru mpaka whereva
Ma mtaa zengine msifkirie nimewasahau
Ma chuo zote Kenya pia sijawasahau
Beste rusha mkono kidogo
Na nyi mamanzi wote Nairobi jitingisheni kidogo
Hizo mikono
Rusha
Beste jo
Ruka
Vidole zako
Rusha
Mamanzi wote bana
Hizo mikono
Rusha
Huyu beste yuko kando yangu ni Clemo
Beats zake wazimu zitaku-blow ka upepo
Hauniamini?
Basi ntakuja kwa ndoto yako ka jini
Ruka ruka staki kouna mtu amekaa chini
Wewe wewe wewe!
Siezi kuacha nyuma twende
Wapi wapi wapi?
Kwa show ya Jua Cali
Ama twende Calif msoro tukakule viazi
Tukiangalia mamanzi wazuri njiani
Cheki yule kwanza vile yuko sawa
Ukimkatia mbele yangu beste itabidi nimekukatakata
Na nitupe hio kichwa Nairobi river
Kuja hapa nikikuita
Rusha mkono kidogo
Na nyi mamanzi wote Nairobi jitingisheni kidogo
Hizo mikono
Rusha
Beste jo
Ruka
Vidole zako
Rusha
Mamanzi wote bana
Hizo mikono
Rusha
Hasidi hana sababu
Mmekaa kwa bench hamna tabu
Jino moja
Naona mko juu ya gomba
A2 kina Young kina Ogoma
A1 Leki Kevo nacome hivyo kucheza ludo
Na mtu akiwachokoza jo mwambie niko poa judo
One two one two
Kina Gondez kina Chege
Base zote kina Roy Odindo small na kila mtu
Anfield haji vipi bana ile juo yangu bana
Nauni nauni kumbushe jo yule Paulo bana
Anirudishie ile ganji bana au sio
Watoto wote wa California
Tuko ngazini tunawaona
Au sio ma mini nini na nini
Kama nimesahau jina yako bana unaeza finya
Record halafu utaje jina yako au sio
Na ka hautaki kuruka
Pia unaeza sh sh sh sh shuta



Авторы: Paul Nunda


Jua Cali - Sekta
Альбом Sekta
дата релиза
26-07-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.