Текст песни Kiasi - Jua Cali
Genge
jo
inanibamba
mbaya
Yani
hii
mziki
yani
Nikiiskia
yani
mi
huskia
sijui
aje
Nika
nipige
nduru
Watu!
Mnajua
niaje
Kitu
yoyote
ntawaambia
leo
Mtanijibu
tu
Maisha
yangu
tamu
siku
inanirarukia
mbaya
lakini
nimeamua
kuituliza
Kabla
pombe
iniue
itabidi
nimeiwacha
kabisa
ama
nianze
kuikunywa
Ona
vile
nywele
zangu
zimerefuka
mpaka
watu
wananiambia
zipunguze
Walikua
wanafkiria
nimeacha
ngoma
Sababu
nimepotea
ngoma
ni
mingi
ngoma
si
Na
zote
ziko
poa
ka
mchele
imeekewa
mnazi
ama
imegusiwa
Ka
hii
ngoma
inakubamba
basi
si
ukatike
Na
ka
inakushika
si
uongeze
sauti
tenje
Chukua
chali
yako
chukua
manzi
yako
mweke
karibu
zitoke
nae
Leo
ata
staki
utupe
mkono
juu
me
nitingishie
tu
kichwa
yako
Staki
ukatike
sana
mpaka
uvunje
mguu
we
nisaidie
tu
kuimba
Hawa
watu
jana
walinishika
ikabidi
nimewaachia
yao
Beste
yangu
akaanza
kubishana
nao
akanyamazishwa
na
ma
mbao
Eeeh!
chali
yangu
haujawai
skia
maneno
ya
hawa
watu
hawana
huruma
ata
Juzi
gari
ya
mafuta
ikaanguka
si
waliangalia
watu
wakiiva
Nyama
choma
kila
mahali
kachumbari
poa
lakini
iongeze
kitungu
Wale
wameponea
wapeleke
hosi
watatibiwa
na
madaktari
Hao
wengine
hawakuja
job
wanasema
leo
wajamaliziwa
ile
ganji
yao
Eeeh!
uspotibiwa
sai
utaona
tu
maisha
yako
ikikuacha
Lakini
usiwe
na
wasiwasi
itarudi
tu
Baada
ya
ma
dakika
baada
ya
ma
dakika
Ebu
niambie
hio
pande
ingine
ni
ku
poa
ama
ni
kubaya
hivi
Kumetulia
ama
watu
wanaungua
ama
watu
wanaiva
hivi
Naskia
raha
wasee
wamechanuka
siku
hizi
ngoma
mbaya
haziskizwi
ata
Pia
naskia
raha
unaeza
chinjia
manzi
siku
hizi
ata
ka
ni
mzee
wako
Kabla
niende
kumwona
lazima
nipige
nguo
pasi
nijipake
mafuta
Niakikishe
ngotha
safi
na
ka
si
mathao
mfukoni
nikue
na
ganji
ata
Leo
lazima
nijue
ka
ananipenda
sana
ama
labda
ananichukia
Lazima
nijue
ka
tazamisha
yote
ama
taiekelea
Akikata
naachana
nae
naenda
kutafuta
mwengine
msupa
tu
Na
najua
tapata
Kiswahili
yangu
ni
mambo
yote
hapa
hakuna
cha
kugeiwa
After
hio
tunakuta
vitu
kuta
vitu
mchana
tunatulia
1 Intro
2 Kiasi
3 Bidii Yangu
4 Labda Sini Wageni Mtu Saba
5 Nakuroga
6 Kamata Dame
7 Nipeasali
8 Ruka
9 Vile Tafanya
10 Wanakimbia
11 Nikipotea Tena(Bonus)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.