Текст песни Labda Sini Wageni Mtu Saba - Jua Cali
(Mahatma)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Nonini)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Jua
Cali)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Mahatma)
Labda
veve
yangu
ya
leo
ndio
imenitupisha
mbao
Labda
naandika
hii
ngoma
na
sijui
mi
ninayo
Labda
manzi
yako
pia
hana
habari
na
anayo
Labda
beste
yako
mmoja
ashaipita
nayo
Labda
alirudi
pia
alipatia
mwalimu
wao
Labda
mwalimu
wao
alipatia
pia
walimu
wenzake
Labda
mmoja
akarudi
akapatia
bibi
yake
Labda
bibi
yake
alipita
pia
na
mboch
wake
Labda
mboch
wake
alipatia
pia
mtoto
wake
Labda
mtoto
wake
aligawa
kwa
dereva
na
makanga
wa
namba
nne
Labda
hesabu
iliongezeka
ikafika
soo
nne
Labda
mmoja
wao
ni
manzi
yako
ule
mwingine
Ama
tumerudi
pale
pale
mahali
tulianzia
Ama
wale
wale
jamaa
tunapatana
nao
kwa
njia
Wengine
wanahama
Wengine
wako
tu
base
wamesimama
Wengine
wanatembea
Wengine
wako
mlangoni
kwa
matatu
wanabembea
Wengine
wanauza
duka
Wengine
jana
walikuwa
mafala
lakini
leo
wamestuka
Wengine
wanacheza
mpira
Wengine
walikuwa
na
deni
Na
sasa
wanafikiria
kulipa
Kuna
buda
flani
alidedi
zamani
Aliuliza
si
ni
wageni
wa
nani
Kijana
labda
unaeza
niambia
Si
ni
wageni
wale
(Mahatma)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Nonini)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Jua
Cali)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Nonini)
Si
ni
wageni
wale
kuja
kwenu
ka
tumebebana
Si
ni
wageni
tukitoa
njumu
mapua
mnazibana
Si
ni
wageni
wale
huanza
kula
na
mkono
hatujanawa
Si
ni
wageni
wale
hupita
na
mobile
zenu
mkikaa
mbaya
Si
ni
wageni
wale
ukituuliza
ka
tunataka
chai
Si
ni
wageni
wale
hujibu
ndio
na
mkate
na
mayai
Si
ni
wageni
wale
tukishika
remote
ma-channel
tunazichokora
Si
ni
wageni
wale
huchafua
choo
saa
zote
tukinyora
Si
ni
wageni
wale
hukuja
kwenu
siku
za
bash
pekee
Si
ni
wageni
wale
hatukujangi
kwenu
ile
siku
mmepika
sembe
Si
ni
wageni
wale
hutokea
poof!
na
hata
hatukupiga
simu
Si
ni
wageni
wale
huchelewesha
kwenyu
mpaka
saa
sita
usiku
Si
ni
wageni
wale
huwacha
kitu
kubwa
kwa
choo
mpaka
ukijaribu
Ku-flush
mara
ka
thao
bado
haiendi
Hii
maneno
ya
ma-floater
jo
mi
sipendi
Si
ni
wageni
hutokea
siku
ya
harusi
hatutokei
siku
ya
mazishi
Si
ni
wageni
wale
hukuja
kwenu
saa
saba
Na
dishi
ilikuwa
imehesabiwa
tu
ya
mtu
saba
Dishi
ilikuwa
imehesabiwa
tu
ya
mtu
saba
(Mahatma)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Nonini)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Jua
Cali)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Jua
Cali)
Mtu
saba
ndio
alikuwa
kwenu
juzi
Mtu
saba
alipigia
babako
ngeta
juzi
Mtu
saba
alikataa
kulipa
kwa
matatu
jana
Na
hiyo
matatu
ingekuwa
karao
si
waliitana
Mtu
saba
alipigia
manzi
yako
combi
Mtu
saba
hapendi
piga
makofi
Mtu
saba
wanataka
kunirusha
manzi
yangu
Na
hao
mtu
saba
ni
ma-homo
wanapigania
haga
yangu
Na
wengine
saba
wamechora
saba
kwa
keja
yangu
Mtu
saba
pekee
yake
walikuja
kwa
ile
show
yako
Na
mtu
saba
bado
alikataa
kulipa
kwa
mlango
Mtu
zaidi
ya
saba
wali-squeeze
kwa
gari
kutoka
kwa
klabu
Mtu
saba
kabati
after
hiyo
gari
ichotwe
na
matatu
Mtu
saba
wanataka
kuchoma
kanisa
yetu
kesho
Na
wee
ni
mtu
wa
saba
kufikia
na
mazee
hivo
hivo
Mtu
saba
walifika
Mount
Kenya
wakipalilia
bhangi
Walistuka
vile
waliniona
kwa
TV,
kumbe
ni
mabeste
wa
mtaani
Mtu
saba,
mtu
saba,
mtu
saba
Nilifuta
story
yao
Sabu
walikuwa
wanasema
mi
si
mkanda
(Mahatma)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Nonini)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
(Jua
Cali)
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
Labda
Si
ni
wageni
Mtu
saba
Edited
by
Riotroriot
1 Intro
2 Kiasi
3 Bidii Yangu
4 Labda Sini Wageni Mtu Saba
5 Nakuroga
6 Kamata Dame
7 Nipeasali
8 Ruka
9 Vile Tafanya
10 Wanakimbia
11 Nikipotea Tena(Bonus)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.