Текст песни Kupendwa Raha (feat. Mr Blue) - Lady Jaydee
Kupendwa
raha
bwana
Hata
mikunjo
kunjo
kwa
sura
imeisha
Natabasamu
lanivisha
ujana
Kwa
raha
ya
penzi
bwana
Nakuonaga
kama
maji
ya
bahari
kwa
mwili
Kuondoazo
hali
na
shari
kwa
penzi
eeh
Mi
nimekuwa
mwepesi
kwako
Kusema
nakupenda
wewe
Kwa
hapo
zamani
hili
neno
kusema
Ni
mpaka
niwe
high
high
high
Nishike
mkono
Nivushe
ng′ambo
nyingine
Nivushe
o,
nishike
o
Tufike
o
pamoja
Nishike
mkono
Tuvuke
ng'ambo
nyingine
Nivushe
o,
tuvuke
o
Tufike
pamoja
Nishike
mkono
nikushike
twende
kando
Nikukoki
kijeshi
we
si
komando
Bonge
la
penzi
bonge
la
bango
Siku
mzima
hewani
tunamaliza
bando
Kwako
niko
huru
sijihami,
niko
huru
Unanipa
raha
Bongo
naiona
Chicago
Unafanya
wanga
watulize
kipato
Mahaba
mengi
kama
mvua
inayochuruza
Nishike
mwili
unajua
kunibburudisha
Bila
ya
Mungu
kwenye
jua
tungekuruzika
Leo
tunatambua
nani
wa
kushurudisha
Nishike
mkono
Nivushe
ng′ambo
nyingine
Nivushe
o,
nishike
o
Tufike
o
pamoja
Nishike
mkono
Tuvuke
ng'ambo
nyingine
Nivushe
o,
tuvuke
o
Tufike
pamoja
Kupendwa
raha
bwana
Na
nguo
nikivaa
zakaa
kwa
mwili
Na
raha
sana
usoni
na
rohoni
Kwa
lako
penzi
bwana
siku
zaenda
kasi
Na
wala
hazigandi
Dhamani
ya
moyo
ni
si
ya
fukoni
Kwako
niko
huru
sijihami,
niko
huru
Nimependa
nawe
umependa
twaenda
mbali
Kwako
niko
huru
sijihami,
niko
huru
Nishike
mkono
Nivushe
ng'ambo
nyingine
Nivushe
o,
nishike
o
Tufike
o
pamoja
Nishike
mkono
Tuvuke
ng′ambo
nyingine
Nivushe
o,
tuvuke
o
Tufike
pamoja
1 Good Vibes
2 Lololo (feat. Domokaya)
3 Baby Love
4 Don't Go (feat. Niniola)
5 Tufurahi
6 Chorus
7 Kupendwa Raha (feat. Mr Blue)
8 Dala Dala
9 Nyumbani
10 Kiwango (feat. Bodea)
11 Drain Me
12 Don't Give Up On Me
13 Side Chick
14 Tangu Mwanzo (feat. Belle 9)
15 I Love Myself
16 Na Iwe (feat. Maunda Zorro)
17 Nipende (feat. Nyoshi El Saadat)
18 Mbinafsi
19 I Miss You
20 Harusi (feat. Mandojo & Domokaya)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.