Текст песни Harusi (feat. Mandojo & Domokaya) - Lady Jaydee
Bwana
harusi
mule
mule
mule
umelenga
Bibi
harusi
mule
mule
mule
umelenga
Bwana
harusi
mule
mule
mule
umelenga
Bibi
harusi
mule
mule
mule
umelenga
Tumpambe
maua
tumuache
anukia
Tumbebe
kimwana
tumfute
jasho
Tumpongeze
kijana
kwa
uamuzi
wa
busara
Tumpeeni
hongera
tulizo
afutwe
jasho
Uamuzi
huu
uamuzi
mkubwa
mkubwa
sana
Tuwatakie
furaha
raha
maana
upendo
Leo
leo,
siku
kubwa
ni
leo
Leo
leo,
shangwe
vigelegele
Leo
leo,
siku
kubwa
ni
leo
Leo
leo,
shangwe
vigelegele
Oh
mama
bibi
harusi
bwana
harusi
wamependeza
Na
keki
ya
harusi
mbuzi
haruki
imefana
Oh
baba
bwana
harusi
bibi
harusi
ni
kushikana
Oh
mama
wenye
chuki
wataji
jei
jei
Leo
leo,
siku
kubwa
ni
leo
Leo
leo,
shangwe
vigelegele
Leo
leo,
siku
kubwa
ni
leo
Leo
leo,
shangwe
vigelegele
Kwa
mapozi
cheza
manjoo
Beko
lako
tu
ndo
hapo
Futa
jasho
kitu
na
box
Vigelegele
piga
makofi
Shusha
na
toti
Vinyaji
ni
mingi
misosi
Pokea
zawadi
ya
doti
Kenge
sanduku
na
pochi
Cheza
tikisa
waone
wenyewe
hivyo,
walosema
hayawi
Kukuruka
ndugu
na
vumbi
timka
Ndo
muda
wa
kukata
dafu
(Kukata
dafu)
Mlishe
akulishe
kama
ulivyomvisha
pete
Leo
leo,
siku
kubwa
ni
leo
Leo
leo,
shangwe
vigelegele
Leo
leo,
siku
kubwa
ni
leo
Leo
leo,
shangwe
vigelegele
Bwana
harusi
mule
mule
mule
umelenga
Bibi
harusi
mule
mule
mule
umelenga
Bwana
harusi
mule
mule
mule
umelenga
Bibi
harusi
mule
mule
mule
umelenga
1 Good Vibes
2 Lololo (feat. Domokaya)
3 Baby Love
4 Don't Go (feat. Niniola)
5 Tufurahi
6 Chorus
7 Kupendwa Raha (feat. Mr Blue)
8 Dala Dala
9 Nyumbani
10 Kiwango (feat. Bodea)
11 Drain Me
12 Don't Give Up On Me
13 Side Chick
14 Tangu Mwanzo (feat. Belle 9)
15 I Love Myself
16 Na Iwe (feat. Maunda Zorro)
17 Nipende (feat. Nyoshi El Saadat)
18 Mbinafsi
19 I Miss You
20 Harusi (feat. Mandojo & Domokaya)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.