Текст песни Tangu Mwanzo (feat. Belle 9) - Lady Jaydee
Tangu
mwanzo,
tangu
mwanzo
Kisa
kilichopelekea
mambo
yote
kuvurugika
Visa
tu
vinajirudia
Lakini
kaa
ukitambua
lini
tangu
mwanzo
Tangu
mwanzo
Ukichafua
husafishi
Ukiazima
unachukua
hurudishi
Ukipewa
huridhiki
Asante
kuisema
hukumbuki
Ooh
la
la
la
lalala
Na
ukisema
unarudisha
haurudishi
Unaenda
moja
kwa
moja,
kwa
moja
Tangu
mwanzo,
tangu
mwanzo
Tangu
mwanzo,
tangu
mwanzo
Kisa
kilichopelekea
mambo
yote
kuvurugika
Visa
tu
vinajirudia
Lakini
kaa
ukitambua
lini
tangu
mwanzo
Tangu
mwanzo
Kumchunguza
sana
bata,
kushiba
itakuwa
stori
Hata
kosa
sio
kosa
unataka
niseme
sorry
Unaleta
mpaka
chumbani
maisha
ya
Insta
Ndani
moyo
huwezi
kuweka
filter
Kila
siku
vikao
ni
kama
vita
Umebadilika
Ulivyokolea
uliniuliza
Ufanye
nini
nisikuache
Ukanipa
sifa
nyingi
nyingi
Eti
kama
mimi
tuko
wachache
Nikichelewa
kurudi
Marafiki
zako
wanakushauri
uniache
Tangu
mwanzo,
tangu
mwanzo
Kisa
kilichopelekea
mambo
yote
kuvurugika
Visa
tu
vinajirudia
Lakini
kaa
ukitambua
lini
tangu
mwanzo
Tangu
mwanzo
1 Good Vibes
2 Lololo (feat. Domokaya)
3 Baby Love
4 Don't Go (feat. Niniola)
5 Tufurahi
6 Chorus
7 Kupendwa Raha (feat. Mr Blue)
8 Dala Dala
9 Nyumbani
10 Kiwango (feat. Bodea)
11 Drain Me
12 Don't Give Up On Me
13 Side Chick
14 Tangu Mwanzo (feat. Belle 9)
15 I Love Myself
16 Na Iwe (feat. Maunda Zorro)
17 Nipende (feat. Nyoshi El Saadat)
18 Mbinafsi
19 I Miss You
20 Harusi (feat. Mandojo & Domokaya)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.