Текст песни Side Chick - Lady Jaydee
Hukuwa
hivyo,
hukuwa
hivyo
Wewe
umebadilika
Hukuwa
hivyo,
hukuwa
hivyo
Wewe
umebadilika
Ulikuja
ukiwa
msafi
mrembo
Shingo
twageuza
Sifa
zako
zilienea
huko
mzima
Harufu
wanukia
kila
kukicha
Mikogo
yavutia
kila
ukipita
Hujipendi
kama
zamani
kisingizio
watoto
Kazi
nazo
hutaki
fanua
Kisingizio
watoto
Alivyokupenda
jana
Ukabweteka
ukanenepa
Alivyokukuta
jana
Si
wa
leo
umebadilika
Usiwe
hivyo,
usiwe
hivyo
Usimnyodoe
mwenzio
Usiwe
hivyo,
usiwe
hivyo
Usimnyodoe
mwenzio
Usijioene
umefika
nawe
waweza
kupita
Haya
mambo
hayana
mwenyewe
side
chick
kumbuka
Oooh
oooh
waweza
kupita
Aah
aah
aah
hata
wewe
yatakwisha
Anavyokupenda
leo
Hata
mwenzio
alipendwa
jana
Huduma
zako
leo
Huyo
mwenzio
alipewa
jana
Huna
muda
wa
kujiweka
sawa
Hujipendi
Huna
muda
wa
kujiweka
sawa
Hujiwezi
Yote
yanasemwa
na
wakilisha
Watu
sio
wema
wana
hakika
Ishi
kwa
makini
ukijua
lolote
Laweza
tokea
kwako
au
yeyote
1 Good Vibes
2 Lololo (feat. Domokaya)
3 Baby Love
4 Don't Go (feat. Niniola)
5 Tufurahi
6 Chorus
7 Kupendwa Raha (feat. Mr Blue)
8 Dala Dala
9 Nyumbani
10 Kiwango (feat. Bodea)
11 Drain Me
12 Don't Give Up On Me
13 Side Chick
14 Tangu Mwanzo (feat. Belle 9)
15 I Love Myself
16 Na Iwe (feat. Maunda Zorro)
17 Nipende (feat. Nyoshi El Saadat)
18 Mbinafsi
19 I Miss You
20 Harusi (feat. Mandojo & Domokaya)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.