Mbosso - Amepotea текст песни

Текст песни Amepotea - Mbosso



Vipeperushi vinasambaa
Eti natafutwa
Nimepotea wiki imekataa
Ndugu wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea mwezi umekata
Kazini sionekani, yupo wapi huyu
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
Baba kaniulizia, yupo wapi huyu
Mama aishi kulia, yupo wapi huyu mimi
Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi
Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi
Sio ya Andit Purre mwana Rajab mlomkuta Tanga
Sijafanywa msukule msipate tabu kumaliza waganga
Amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
Penzi la wasasambule lenye protini, vitamin na wanga
Aaaah! ladha yake, si sukari
Ni vichenza na malimao
Mechi zake, huwa hatari
Ni chenga na mabao
Kazini sionekani, yupo wapi huyu
Simuni sipatikani, yupo wapi huyu
Baba kaniulizia, yupo wapi huyu
Mama aishi kulia, yupo wapi huyu mimi
Nimezama katika kina kirefu
Cha bahari ya mapenzi
Msinitafute, nimezama (Msihangaike katika kina kirefu)
Nipo salama, (Cha bahari ya mapenzi) salama, salama mimi
Nipo salama mimi, Nipo salama mimi
Msinitafute, Nipo salama mimi



Авторы: Salmin Kasimu Maengo, Mbwana Yusuf Kilungi, Iraju Hamisi Mjege


Mbosso - Amepotea - Single
Альбом Amepotea - Single
дата релиза
10-05-2023




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.