Rorexxie feat. 20 Percent - Sitoi текст песни

Текст песни Sitoi - Rorexxie



Sura mpya miguu ya zamani
One love, one blood, one happy
Combination Sound, Man Water man maji
Meddy
Ulipotoka mbali, ngoja nikupe stori
Mama yako jasiri
Japo babu yako mkali vyote alikubali, akaitwa "jeuri"
Alitaabika akasulubika, alijipa huakika atapumzika
Alitaabika akasulubika, alijipa huakika atapumzika
Kama malaika, alivyo umbika
Hakuwai badirika mpaka aliposhika mimba
(Nilisema hatoe, hatoe, kama hatoi asinijue)
(Akawaza hatoe, hatoe, mtoto amuhuwe)
(Akasema "sitoi, sitoi, liwalo na liwe)
("Atakuja kuwa nani, sijui kwaiyo sitoi, liwalo na liwe")
Wakati umekua kua nilikuja na rafiki zangu
Kuwatambulisha kuwa, wewe ni mwanangu
Umefanana pua, midomo na macho yangu
Mama yako aliniumbua kwa dhambi zangu
You are the liarrr
Huoni hayaaaa!!
Nyinyi wanaume wabayaaa!!
Wewe si' wa kusema haya, kweli nilidanganya
(Nilisema hatoe,hatoe, kama hatoi asinijue)
(Akawaza hatoe, hatoe) Hatoe
(mtoto amuhuwe) hatoe mtoto amuhuwe
(Akasema "sitoi, sitoi, liwalo na liwe) liwalo na liwee
("Atakuja kuwa nani, sijui kwaiyo sitoi, liwalo na liwe")
Wakati mama yako bado yuko Skonga
Kwa umbo tabia zake nilijigonga
Penzi la dhati wala si kwa kuonga, alipota mimba hapo ndipo majanga
Alitaabika akasulubika, alijipa huakika atapumzika
Alitaabika alisulubika, alijipa huakika atapumzika
Ulipotoka mbali nimekupa stori
Mama yako jasiri (mama yako jasiri sana)
Japo babu yako mkali, vyote alikubali akaitwa "jeuri"
(Nilisema hatoe,hatoe, kama hatoi asinijue) kama hatoi asinijuee!
(Akawaza hatoe, hatoe mtoto amuhuwe) yule mtoto amuhuwe
(Akasema "sitoi, sitoi, liwalo na liwe") Ooh na liwee
("Atakuja kuwa nani, sijui kwaiyo sitoi, liwalo na liwe")



Авторы: Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu


Rorexxie feat. 20 Percent - Brokėn
Альбом Brokėn
дата релиза
26-10-2023




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.