Rorexxie - Sauti yangu текст песни

Текст песни Sauti yangu - Rorexxie



Wasani nauliza ni kipi msichokijua
Macho kuvimba midomo mnavyo biniua
Really mc. sio kuimba kuchana kubana pua
Get jealous haters mwisho unatusua
Mungu anakupa kile alichopanga, tumia unavyoweza ukitaka kudanga danga
Mjanja kajenge bidanda jifanye mwamba chuma kula ngada
End of day mwisho wasiku umekuja kutaga, makofi tafafhali
Eh bwana guda we kesha tukutane kwenye market
Muda sio fedha eti uifadhi kwenye wallet
Mbona siwaoni mliotangulia mliosema nyinyi the dONNi watazania
Wale wahenga tupakule usicheke na kima
Muziki sio wachemenengule ni wima-wima
Wale waukumbi ni kukesha kutaja majina
Anaenipenda kisa pesa mawambie sina (sina)
Sasa umekaa now tell wakinje kikile ngwale
Ulijifanya kuku mungu amekufanya kware
(Sauti hii..., sauti, sauti hii..., sauti, Sauti yangu) sauti ya gharama
(Sauti yangu) inafundisha na kuonya
(Sauti yangu) sauti ya gharama
(Sauti yangu) inafundisha na kuonya
(Sauti hii..., sauti, sauti hii..., sauti, Sauti yangu)
Sauti ya mwimu, sauti ya jami-mi
(Sauti yangu) inakukimbiza kuzim' sauti ya nabii-hi
(Sauti yangu) sauti inasikika mbali sauti sahi-hi
(Sauti yangu) sauti inakisu kikali, sauti ni hii
Pass mpira, maskini jealous
Mazingira nafsi jealous nafsi killer na mauti nakujanazigira na sauti
Mi'nakufahamisha kuna kunakusanda
Show love, peace love, kwenye kitanda
Kuja ukishafika u'can go one go, vujajasho ni bando bando
Wote tunapita one door one door, shuka kisha kupanda why no why no?
Wanauwana jirani zetu wanaulizana
Wezi wengi ni vijana mbona wale wanaimba sana
Kuna wale washiriki na wafanya makafara
Wasitunfunge ridhiki, wazikuze viashara za kwao
(Sauti hii..., sauti, sauti hii..., sauti, Sauti yangu) sauti ya gharama
(Sauti hii..., sauti, sauti yangu) inafundisha na kuonya
(Sauti yangu) sauti ya gharama
(Sauti yangu) inafundisha na kuonya
(Sauti hii..., sauti, sauti hii..., sauti, Sauti yangu)
(Sauti yangu, Sauti yangu, Sauti yangu)



Авторы: Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu


Rorexxie - Brokėn
Альбом Brokėn
дата релиза
26-10-2023




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.