Rorexxie - Yanini Malumbano текст песни

Текст песни Yanini Malumbano - Rorexxie



(Yanini malumbano, yanini maneno?)
(Najiweka pembeni naipusha msongamano)
(Bora nitulie, ningoje changu na mie)
(Mollah nijalie haya yasijirudie)
(Yanini malumbano, yanini maneno?)
(Najiweka pembeni naipusha msongamano)
(Bora nitulie, ningoje changu na mie)
(Mollah nijalie haya yasijirudie)
Kisa na mkasa yalionikuta Dar-, subiri kwamza machozi nafuta
Nikikumbuka juzi nilipopataga, msichana mrembo mtam' kama amabatata
Nilivyo pata nilidhani nimepata kumbe, nimepatikana
Mitaa ya kati sasa sitaki kupita mwenzenu mi naona noma
Umalaya chart kashika, anagawa kwa kila rika
Umalaya chart kashika, anagawa kwa kila rika
Ebu shika talaka nendaaa, (nendaa!) nenda!
Mambo uliyo tenda, kuyavumilia nimeshindwa
Nendaaa, nendaaa, nenda hata kama zamani nilipenda
(Yanini malumbano, yanini maneno?)
(Najiweka pembeni naipusha msongamano)
(Bora nitulie, ningoje changu na mie)
(Mollah nijalie haya yasijirudie)
(Yanini malumbano, yanini maneno?)
(Najiweka pembeni naipusha msongamano)
(Bora nitulie, ningoje changu na mie)
(Mollah nijalie haya yasijirudie)
Mengi nimevumilia, hayapungui yanazidia
Hivi kwanini my dear ama haujui kwamba naumia
Pombe kichwani umeingia, eti saa nzima walia
Mimi gheto nishajilalia, kitandani ukatapikia
Kigezo sikukupenda, eti kupenda nisikopendwa
Sasa kwanini unanitenda au ndo malipo ya kukupenda wewe
Nisicho pinga ni kwamba ukweli nilikupenda wewe
Nilicho shindwa nikuvumilia unayotenda baibe
Nendaaa, nendaaa..., nenda hata kama zamani nilipenda
(Yanini malumbano, yanini maneno?)
(Najiweka pembeni naipusha msongamano)
(Bora nitulie, ningoje changu na mie)
(Mollah nijalie haya yasijirudie)
(Yanini malumbano, yanini maneno?)
(Najiweka pembeni naipusha msongamano)
(Bora nitulie, ningoje changu na mie)
(Mollah nijalie haya yasijirudie)
Washkaji walinambia kwamba "demu nikiruka njia"
Nilidhani wamenipangia kunitania nikapuuzia
Chezo lilipoaanza nilidanganyaga naenda mwanza
Kurudi kitu chakushangaza nakuta kidume kimejilaza gheto
Nendaaa, nendaaa, nenda aeh
Ebu shika talaka nenda, baiby gal baby nenda
Mambo uliotenda, kuyavumilia nimeshindwa mie!
Nendaaa, nendaaa, nenda hata kama zamani nilipenda



Авторы: Issai Ibungu


Rorexxie - Brokėn
Альбом Brokėn
дата релиза
26-10-2023




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.