Harmonize - Pipe Industries paroles de chanson

paroles de chanson Pipe Industries - Harmonize



Aaiii aiii
Pipes Industries mkombozi wa mabomba
Pipes Industries mambo yote sasa bomba
Pipes Industries mkombozi wa mabomba
Pipes Industries mambo yote sasa bomba
Mmh sambamba na dira ya Serikali ya awamu
Ya tano, yenye nia kusambaza maji safi salama
Maji taka tunayatupa mbali, 2025
(Kond)
Mtanzania tunywe yalio safi, salama
Mmh tuwakabidhi hilo jukumu
Pipes Industries maana wengine kelele Usithubutu,
Ndio mabingwa wa mabomba magumu Pipes Industries
Utatumia miaka milele, hayashiki kutu
Tena hayatengenezwi mbali ni hapahapa
Tanzania (iih)
Kwa uwekezaji hodari, wa wazawa wa Tanzania
Bomba imara ngangari, kivyovyote Utakavyotumia, bei yake sio ghali
Ni nafuu kwa Mtanzania yoyote
Pipes Industries mkombozi wa mabomba
(Bomba la GRP)
Pipes Industries mambo yote sasa bomba
(Milimita 250, upana)
Pipes Industries mkombozi wa mabomba
(Size tofauti, tofauti)
Pipes Industries mambo yote sasa bomba
(Mpaka milimita 3200 upana)
Mabomba haya hutumika kwenye miradi ya
Ujenzi, Kilimo, Umwagiliaji hadi migodi ya
Madini, kupitisha maji taka kadhalika
Kupasuka hayawezi, hata kwa wafugaji ndio
Chaguo lao niamini eeh eeh
Mabomba yaliokidhi ubora kitaifa na kimataifa
ISO na TBS tena, hayatengenezwi mbali ni hapa
Hapa Tanzania, ni uwekezaji hodari wazawa wa Tanzania
Bomba imara ngangari, kivyovyote utavyotumia
Hata bei yake sio ghali, ni nafuu kwa Mtanzania
Yoyote (eeh)
Pipes Industries mkombozi wa mabomba
(Kwa viwango vya P.H.E)
Pipes Industries mambo yote sasa bomba
(Bomba la T.V.C)
Pipes Industries mkombozi wa mabomba
(Shout out, ni kiboko)
Pipes Industries mambo yote sasa bomba
Asa Watanzania (wameyaona, wameyapenda)
Magufuli (ameyaona, ameyapenda)
Na Watanzania mabomba
(Wameyaona, wameyapenda)
Raisi wetu, Magufuli
(Ameyaona, ameyapenda)
Ameyaona, aah aah aah




Harmonize - Kwa Ngwaru
Album Kwa Ngwaru
date de sortie
27-11-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.