Songtexte Iyena - Diamond Platnumz
Hhhhmm!
Ah!
Leo
chereko
chereko
Mwanenu
nimekuwa
Zile
kuringa
mideko
itapungua
Ahsante
mama
ulinifunza
nkajua
Baba
kasema
kuomba
mwiko
Raha
ya
chumvi
kununua
Tena
si
kwa
nazi
Si
hirizi
za
waganga
Kwa
baraka
za
baba
na
mama
Tu
na
dua
Waambie
paparazi
Pingamizi
wenye
viranga
Waliosema
hayawi
hayawi
yamekuwa
Ooh!
Oh!
Iyena
Iyena
Iyena
Iyena
Iyena
Iyena
Kwaheri
tutaonana
Iyena
Iyena
(aah
ooh)
Iyena
Iyena
(aah
Iyeena)
Iyena
Iyena
Ntawakumbuka
sana
Ooh!
Ndoa
baraka
Ukipata
ushukuru
Maana
wanayoililia
ni
wengi
sana
Kwetu
talaka
Kuitoa
ni
kufuru
Nimefunzwa
vumilia
Niushinde
ujana
Ili
kesho
mahususi
Kusudi
wasinong'one
Embu
nichumu
niringe
washushuke
Na
hii
pete
ya
harusi
Nakuvisha
waone
Wakale
sumu
Wavimbe
wapasuke
Eeh!
Ati
nashika
nanga
Nteke
nsichomoke
ndani
(anameremeta)
Futa
namba
wablock
vimada
wa
zamani
(anameremeta)
Sio
vijembe
vya
kanga
waziwazi
mambo
hadharani
(anameremeta)
Waliopanga
mwenye
nyumba
kaja
ndani
(anameremeta)
Iyena
Iyena
(aah
iyoyo)
Iyena
Iyena
(aah
Eeeh)
Iyena
Iyena
Kwaheri
tutaonana
(oh!
Kwaheri
baba
mama)
Iyena
Iyena
(Iyeeena)
Iyena
Iyena
(aah
eeh)
Iyena
Iyena
Ntawakumbuka
sana
Imefika
tamati
Tulisubiri
kitambo
Leo
samaki
Kanasa
kwenye
chambo
Pongezi
kwa
kamati
Yanavutia
mapambo
Napata
picha
safi
Litanikoma
bundle
Mwanamke
usafi
Gaga
kulisugua
Mume
akirudi
sharti
Viatu
kumvua
Kitandani
marashi
Massage
kumchua
Kisha
anza
sayansi
Viuno
kutengua
Mambo
ya
kuzima
taa
Si
mahaba
ni
kuwanga
Washa
japo
ka
mshumaa
Mumeo
aone
shanga
Eeeeh!
Makeup
kinanda
Kaka
suit
kama
mbunge
(anameremeta)
Mulo
changa
muda
kujipooza
na
punje
(anameremeta)
Momo
ndani
Shivo
amekuja
na
Fumbwe
(kanameremeta)
Kula
chanda
ukishiba
ruksa
kafunge
(anameremeta)
Iyena
Iyena
(ah
iyeee)
Iyena
Iyena
(ah
iyoyo)
Iyena
Iyena
Kwaheri
tutaonana
(eh!
Kwaheri
baba
mama)
Iyena
Iyena
(Iyeee)
Iyena
Iyena
(hhmm)
Iyena
Iyena
Ntawakumbuka
sana
Saa
nataka
kusasambua
(sasambu)
Me
nasasambua
(sasambu)
Aby
Dad
nasasambua
mimi
(sasambu)
Sasambua!
Tuone
Mguu
moja
juu
(sasambu)
Usishushe
chini
(sasambu)
Cheza
jitazame
(Sasambu)
Sasambua!
Tuone
Aisha
kimobitel
(sasambu)
Nipe
za
baloteli
(sasambu)
Nyonga
kibaiskeli
(sasambu)
Sasambua!
Tuone
Akaa
kama
unashika
ukuta
(sasambu)
Ifanye
unashusha
(sasambu)
Taratibu
zungusha
(sasambu)
Sasambua
Tuone
Sasambu!
Sasambu!
Sasambu!
Sasambua!
Tuone
Kama
unawasha
bajaji
(sasambu)
Imwagie
na
maji
(sasambu)
Tuwakomeshe
vizazi
(sasambu)
Sasambua!
Tuone
1 Acha Nikae Kimya
2 Baba Lao
3 Baikoko
4 Eneka
5 Fire
6 Hallelujah
7 I Miss You
8 Jeje
9 Kanyaga
10 Kesho
11 Kizaizai
12 Kwanini
13 Lala Salama
14 Mapenzi Basi
15 Mawazo
16 Mdogo Mdogo
17 Moyo Wangu
18 Nataka Kulewa
19 Niache
20 Nikuone
21 Nitarejea
22 Ntampata Wapi
23 Sijaona
24 The One
25 Ukimuona
26 Utanipenda
27 Binadam
28 Inama
29 Mapenzi Kitu Gani
30 Kidogo
31 Iyena
32 Salome
33 Mbagala
34 Nalia Na Mengi
35 Natamani
36 Nimpende Nani
37 Upofu
38 Kamwambie
39 Chanda Chema
40 Tulia
41 Sikomi
42 Kosa Langu
43 Ccm Number One
Attention! Feel free to leave feedback.